Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

wewe jamaa haujielewi yaani guadiora anunue iyo takataka James si Bora amnunue James milina au iddy kipangwile
Watu wenye lugha za hovyo kama wewe hapa jukwaani wapo wengi sana mkuu, wengi nimeamua kuwa-ignore sioni michango yao.

Ukitoka hapa nenda nyumbani kwenu ukale na kunywa ikiwa kama ishara ya kusherehekea kujibiwa na mimi.

Natambua fika una tatizo la kimalezi na ni ngumu sana kurudi kwa wazazi wako warudie upya kukulea.

Humu kuna mashabiki kindakindaki ambao huwa tunabishana na kutaniana sana kama akina Ollachuga Oc King Ngwaba Aaron huwa tunafanya hivyo huku tukiheshimiana sana.
 
Najiuliza had muda huu huyu kocha alianzaje kumuacha lukaku toka siku ya kwanza anauzwa niliumia sana najua umuhimu nikiangalia mipira ya juu anavyocheza halafu uje na genge letu tofaut mipira ya juu imechezwa na pogba + maguire zile foward wala hazijagusa
Kosa kubwa sana kumruhusu lukaku aondoke bila replacement
 
.
IMG_20190824_191912.jpeg
 
Nilishangaa sana kumuuza lukaku sina cha kwa mwambia solskjaer tunakaa kimya tu

Na tuliwaambi shida ya hii timu sio mourinho ni mfumo watu walionaga kama fala hivi mourinho hawez kumwacha herrera asepe kisha umpange pogba na scott

Martial kaumia shaw kaumia rashford na martial kama tunavyowajua mech 5 goli 1
Inasikitisha sana.

Ukimkosa Martial uwanjani utampanga nani?
 
Watu wenye lugha za hovyo kama wewe hapa jukwaani wapo wengi sana mkuu, wengi nimeamua kuwa-ignore sioni michango yao.

Ukitoka hapa nenda nyumbani kwenu ukale na kunywa ikiwa kama ishara ya kusherehekea kujibiwa na mimi.

Natambua fika una tatizo la kimalezi na ni ngumu sana kurudi kwa wazazi wako warudie upya kukulea.

Humu kuna mashabiki kindakindaki ambao huwa tunabishana na kutaniana sana kama akina Ollachuga Oc King Ngwaba Aaron huwa tunafanya hivyo huku tukiheshimiana sana.
Mkuu mbona kama mna-panic?? Jamaa si anatania tu hapo??
 
Tutamlaumu bure De Gea wa watu mkuu, timu hamna hapa.

Timu ina wachezaji wachache sana wanaocheza kikazi na kwa uchungu. Hapa hamna kutu, sijui tulimuotea vipi Chelsea.
Daaah yani acha tu mkuu hivi Chelsea tulimfingaje zile nne? mim naona wakina rashid na lingad wamesharizika na ule ushindi wetu dhidi ya Chelsea ivyo wanaruka ruka tu ili muda uende..
 
Back
Top Bottom