Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Timu haiwezi kwenda na vitoto tu, nilitegemea aingie matic baada ya kutoka lungard, ili pogba apande juu na matic aende chini, nikashangaa kitoto kinaingizwa.

UBAYA WQ VITOTO, VINACHEZA VIZURI GAME MOJA, VINAHARIBU GEMU NNE.

ole at the wheel
Ila huyu mtoto ana akili sana na analijua goli, shida ipo kwa Ole na upangaji wake tu.

Hivi ni kweli kwamba Matic ndio ameisha kabisa?
 
Maguire hana tatizo. Tatizo liko katikati. Pogba ni kama anacheza yeye na kivuli
Nilisema humu kama sikosei, tatizo kubwa la MUFC lipo pale kati. Bado mechi chache tutaanza tena kuona Bissaka na Harry sio mabeki kumbe tatizo ni viungo watepetevu.
 
Lingard msimu 2018 - goals 4 Assist 4

msimu 2017 - goals 0 Assist 0
msimu 2016 - goals 0 Assist 0
msimu 2015 - goals 0 Assist 0
msimu 2014 - goals 0 Assist 0
msimu 2013 - goals 0 Assist 0
msimu 2012 - goals 0 Assist 0
msimu 2011 - goals 0 Assist 0
msimu 2010 - goals 0 Assist 0
msimu 2009 - goals 0 Assist 0
msimu 2008 - goals 0 Assist 0
msimu 2007 - goals 0 Assist 0
Huyu hata goli 6 kwa msimu hafikishi.
 
Unaacha bruno unachezesha kilaza
Au izi takwimu hawazioni
Lingard msimu 2018 - goals 4 Assist 4

msimu 2017 - goals 0 Assist 0
msimu 2016 - goals 0 Assist 0
msimu 2015 - goals 0 Assist 0
msimu 2014 - goals 0 Assist 0
msimu 2013 - goals 0 Assist 0
msimu 2012 - goals 0 Assist 0
msimu 2011 - goals 0 Assist 0
msimu 2010 - goals 0 Assist 0
msimu 2009 - goals 0 Assist 0
msimu 2008 - goals 0 Assist 0
msimu 2007 - goals 0 Assist 0
 
Mkuu mbona kama mna-panic?? Jamaa si anatania tu hapo??
Hapana,huo sio utani wa kimichezo tuliozoea hapa jukwaani.

Siwezi kupanic kwa utani wa kawaida kwasababu hata mimi natania pia. Awatafute hao niliwaorodhesha hapo ataona utani wa mpira ulivyo.
 
Pogba anaweza kuwa ni mchezaji mzuri lakini mimi uwa namshangaa sana uwajibikaji wake uwanjani, kupoteza sana mipira halafu kutembea.
Kwakweli kiwango anacho ila ili ashine anahitaji waliomzunguka wajitume haswaa.

mpira kitu cha kwanza kocha mzuri wa uhakika sio kufanya majaribio, aaminiwe halafu inafuata usajili.

angalia liverpool na man city unaona kabisa kocha anahusika kwenye usajili.
liverpool waliingia mikenge sana miaka ya karibuni alipoondoka Rafa kabla ya kumpata Klopp. ona tu rafa alivyopambana newcastle haina usajili wa maana sasa ile itashuka ile.

sasa manchester kama kweli kuwaamini kina ole basi walau ingekuwa kama barca yani mtu alikuwa kocha wa vijana anapandishwa kupokea mikoba ya fergi.
hivi ilivyo, hakuna namna hapa lazima aletwe kocha mzuri ndipo tujadiliane mengine
 
Timu haiwezi kwenda na vitoto tu, nilitegemea aingie matic baada ya kutoka lungard, ili pogba apande juu na matic aende chini, nikashangaa kitoto kinaingizwa.

UBAYA WQ VITOTO, VINACHEZA VIZURI GAME MOJA, VINAHARIBU GEMU NNE.

ole at the wheel
Hapo ndipo nilichoka kabisa mkuu, au basi angeingiza hata Mata kama hamuamini Matic kabisa.

Hadi hapa naamini Ole pamoja na ubovu wa timu katika usajili,jamaa ni mbabaishaji tu.
 
Sisi Man United lazima tubebe ligi ..yani tuna Rashid, Masho, Lingad kwa nini tusibebe EPL bwana achilia mbali DeGea, Bissaka, Magwaya dah...
 
Ukiacha babu fegi kuna kocha yoyote yule aliwahi leta uzawa kwenye timu na akapata mafanikio???
Tena mi naamini fegi aliwaweza wazawa kwa style moja tu ya kuwafokea na kuwadunda kabisaa ndio maana tukawaona wanacheza mpira wa kujituma haswa
 
Back
Top Bottom