Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,481
- 27,185
Pukki goli 5 so far msimu huu.
Some kind ya Micho na Vardy
Pukki goli 5 so far msimu huu.
Naona Lingard anaanza tena.
Kweli kuna bahati na nyota katika mpira.
Ila kocha ndio fundi.
Hiyo ndiyo Principle ya Soccer! Lazima Katika timu kutakuwa na Mchezaji Mmoja anachezedhwa ambaye anawakera Mashabiki kuliko Shetani.
Hilo katika timu zote
Naona pale mnae nahodha. |
Naona pale mnae nahodha.
Dalot yupo injuredWakuu, Dolot ana injury au kitu gani simwoni hata kwenye sub
Nakuomba kwa heshima na taadhima rekebisha hiyo kauli yako chafu dhidi Yangu ???...Tangu Pre Season kumetokea waganga njaa wengi , wakiwemo mashabiki Wa United wakipiga ramli kuwa timu Yetu ingekula vipigo bandika bandua ...
Tulionyana humu hizo ni ramli chochezi ... Sasa naona ramli zinazidi kuendelezwa na mashabiki wa timu pinzani wakiungwa mkono na Genge Dogo la mabaki ya nduli morinho lililobaki kwenye viunga vya old Trafford ..
Hili Genge nalikumbusha kuwa tumecheza mechi mbili na tuna pointi 4 ...
Sasa endeleeni kuchoma ubani na kuvunja Nazi timu ifanye vibaya ..
Nawakumbusha Next point ni Crystal Palace pelekeni habari moto atakaoupata itakuwa ujumbe kwa wazandiki wote kuwa "Tumewashaaaa"
Nawatakia Weekend Njema..
Na Fred, sorry nipo outdatedDalot yupo injured
Huyu ndio aliyeiua Bayern Munich mpaka leo haijafufuka
Kama ni kocha bora zaidi duniani, na kwa kuwa ubora hupimwa kwa mafanikio, basi anapaswa awe ameshikilia makombe yote kwa hatua ya vilabuMan City huyu alikuwa na uwezo wa kuchukua ubingwa kibabe kwa gap la Points 19 kama 2017/2018 bila ya Pep?
Na Pep anakuja kuvunja rekodi ya Ferguson ya treble ya EPL maana sioni wa kumzuia asichukue EPL ya 2019/2020
Siipendi Man City ila Pep ni kocha mwenye mafanikio na anaejua Ukocha pengine kuliko Kocha yeyote duniani
UEFA na Bayern alikuwa anaishia nusu fainali na ndio Club pekee aliyotoka baada ya kuachana na Barca
Mnapotaka kusema Ferguson ni bora kuliko Pep kwa kigezo cha Aberdeen mnasahau kwamba Ferguson amepoteza fainali mbili za UEFA zote na tena kwa mtu huyo huyo ambae ni Pep
Kama anabebwa na ubora wa Wachezaji mbona Valverde ameshindwa akiwa na Messi yule yule? Kuhusu kutumia pesa Man Utd muda wote ilikuwa na uwezo mkubwa kipesa kuliko Club zote ambazo Pep amefundisha na anafundisha sasa lipi ni lipi hapo?
Lingard anakipi cha kumzidi Perreira!!!
Perreira ndio Poul Scholse wa kizazi kipya.
Perreira ana ball control nzuri ana dribbling nzuri umiliki wake wa mpira ni mzuri amazidi kila kitu Lingard .
Yan mashambulizi yote, hamna hata shot on target!
Lingard anakipi cha kumzidi Perreira!!!
Perreira ndio Poul Scholse wa kizazi kipya.
Perreira ana ball control nzuri ana dribbling nzuri umiliki wake wa mpira ni mzuri amazidi kila kitu Lingard .