My starting Lineup vs Crystal Palace

De Gea

Bissaka Lindelof Maguire Shaw

Pogba McTominay

James Lingard Rashford

Martial

Sioni sababu ya sisi kukosa point tatu na perfomance nzuri..GGMU
Naunga mkono hoja

Kwa Lingarg akibaki yeye, akipewa nafasi Angel Gomes, Greenwood au DJ I wouldn't mind
 
Kwa upande wangu sijaona kosa la kunamtoa pogba kuna kiungo mwingine pale wa kuitembeza timu?

Pogba mpira anaujua sema anataka kuondoka kwa kuwa anajua timu anayoitumia ya kawaida kupata mafannikio huenda ikawa ngumu

Huwez kuniambia moyo wake upo safi kucheza na scott,lingard,martial na rashford angalia top 5 timu za ulaya toka namba 6 hadi 11 kisha angalia manchester united

Hivyo vitoto huwa ni vya kuingia sub kupata uzoefu jana timu ilihitaji sub ya striker mwingine unaona kabisa martial na rashford kwisha ujuz wao wote pogba anafanyaje?

Penat kila mchezaj anakosa penat huwa goli had iiingie kambani
Hakuna kitu yule kijana si mtu sahihi kwa timu yetu. Alishaonyesha altitude hyo tangu bado mtoto
 
Halafu ameenda kumuomba Rashford wakati halikuwa jukumu lake. Naona katabia ka aliyefanyiwa rafu ndio apige penalty kanataka kuota mizizi.
Kijana yupo juu ya timu yetu tuvumilie tu japo ile penati kwa moyo wangu wote sitamlaumu mana alipiga bila ya Yale madoido yake
 
Jana OGS kasema wapiga penati aliowapa jukumu wapige ni Rashy na Paul

Lakini naona kama anamtetea Paul kiaina

By the way, msimu wa mwaka jana tu Paul amekosa penati takribani 4, kwahiyo si mpiga penati mzuri kiivyo

Nadhani United wana wapiga penati wengi wazuri kuliko Paul, lakini kwa sababu Paul ni Paul..... Always ata act kama Paul
Paul ni zaidi ya Man United kwa sasa,inabidi tuwe wapole tu.
 
Hebu acha vituko mkuu,unataka sasa tuanze kujadili madhanio? Kwamba hata angepiga Rashford au Martial wangekosa kama Pogba? Hiyo kazi sifanyi mimi.

Hata hivyo,Rashford ni bora zaidi kwa hiyo kazi hasa ukiangalia mikwaju aliyowahi kupiga na ilikuwa na presha kiasi gani.

Nipe idadi ya penalty alizowahi kukosa Rashford nami nitakupa alizokosa Pogba.

Ha ha eti hiyo kazi sifanyi mimi
 
Tunakumbushana tu

Msimu uliopita United dhidi ya Chelsea nyumbani, Wolves away na Cristal Palace nyumbani tulivuna jumla ya pointi 2 (tuli draw na Chelsea, tulipigwa na Wolves na tuka draw na Cristal Palace

So far katika fixtures zetu na hizo timu, tuna points 4 na kiporo cha Cristal Palace

Kuna watu hawataipenda hii taarifa
 
Time Will Tell
 
Tangu Pre Season kumetokea waganga njaa wengi , wakiwemo mashabiki Wa United wakipiga ramli kuwa timu Yetu ingekula vipigo bandika bandua ...

Tulionyana humu hizo ni ramli chochezi ... Sasa naona ramli zinazidi kuendelezwa na mashabiki wa timu pinzani wakiungwa mkono na Genge Dogo la mabaki ya nduli morinho lililobaki kwenye viunga vya old Trafford ..

Hili Genge nalikumbusha kuwa tumecheza mechi mbili na tuna pointi 4 ...

Sasa endeleeni kuchoma ubani na kuvunja Nazi timu ifanye vibaya ..

Nawakumbusha Next point ni Crystal Palace pelekeni habari moto atakaoupata itakuwa ujumbe kwa wazandiki wote kuwa "Tumewashaaaa"

Nawatakia Weekend Njema..
 
subiri zaha akupapase kinyeo
 
Naona Lingard anaanza tena.

Kweli kuna bahati na nyota katika mpira.

Ila kocha ndio fundi.
 
Back
Top Bottom