Belo
JF-Expert Member
- Jun 11, 2007
- 12,912
- 10,262
Na wanacheza mpira mzuri mechi zotechelsea wanadharauliwa lkn hadi sasa wamecheza mechi 3 wana points 4, sawa sawa na Man Utd ya Maguire![]()
Na wanacheza mpira mzuri mechi zotechelsea wanadharauliwa lkn hadi sasa wamecheza mechi 3 wana points 4, sawa sawa na Man Utd ya Maguire![]()
Ole anataka kumuondoa na Sanchez tena ili aendelee kuleta subs zake za dogo Greenwood.
Naona Martial mwishoni ameumia,mbadala wake ni nani?
Lingard msimu 2018 - goals 4 Assist 4
msimu 2017 - goals 0 Assist 0
msimu 2016 - goals 0 Assist 0
msimu 2015 - goals 0 Assist 0
msimu 2014 - goals 0 Assist 0
msimu 2013 - goals 0 Assist 0
msimu 2012 - goals 0 Assist 0
msimu 2011 - goals 0 Assist 0
msimu 2010 - goals 0 Assist 0
msimu 2009 - goals 0 Assist 0
msimu 2008 - goals 0 Assist 0
msimu 2007 - goals 0 Assist 0

Peter Drury:- "You look at Marcus Rashford, he has the speed and the shooting style of Cristiano Ronaldo but the brains of Christian Benteke "
Nimecheka kweli na huyu jamaa. Rashford anaspidi ila ubongo wa Benteke..![]()
![]()
√Huu ni utani..tunafungwa na Palace nyumbani..WTF
√Kuna watu wanasema Pogba kisa hajazungukwa na World Class Players basi ni haki yake yeye kupoteza poteza mipira na kufanya madoido madoido mengi yasiyokuwa na msingi..we all know Pogba uwezo anao ila kuna muda huyu jamaa anaicost timu na pia sababu ya yeye kuzungukwa na average player haiwezi kustand out..
√McTominay anapiga kazi ila bado sio standard ambazo zinahitajika kwenye DM kama kweli timu hii ipo serious..same applies to Lingard..Hatuitaji mtu anayepiga tu kazi bali mwenye uwezo wa kusoma mchezo na kufanya vitu tofauti ili kuinfluence matokeo.
√The more you create the more the chance to score..timu haitengenezi nafasi za kueleweka magoli yanatoka wapi??..ukichanganya na straika wetu Martial ambaye ni kama anacheza soft soft sahau kabisa magoli.
√Kipindi cha mwishoni cha Mourinho pale United kabla ya kutimuliwa alikuwa ameshapoteza imani na Lukaku,Rashford alianza kutumika na Ole pia akaendeleza kilekile..Lukaku kuondoka kwangu sio big deal,,ishu ni yeye kuondoka kisha tunampa jukumu Martial la kutufikisha mawinguni...
√Daniel James naona ni bora awe anatokea kushoto atleast kuna kitu anakionyesha akitokea huko
√Five more games,and Shi.t Perfomance kama leo,then the season is over
√Falsafa ya Ole ni ipi haswa au ni mapema kuuliza hili swali??
Sasa kama CP unamshindwa Norwich ndo utamuweza kweli..alichia mbali Leicester..Naona umefufuka sasa sema norwich wamekusamehe tu





Bissaka na Pogba wanapoteza muda tu ..ni bora watafute timu za kwenda..Leo bissaka kakutana na waliotuuzia wanamjua kumbe wamemtuliza tuliiii