Issue ya usajili man City tumeshaizungumzia Sana Humu Ni Mambo ya Kina Txiki Begiristain ambaye alikuwa anasajili wachezaji wanaofit mfumo wa tiki taka toka hata pep hajakuja. Man city wameanza ku poach viongozi wa Barcelona hata kabla ya pep.
Mbona Bayern pep alipokuwa Hana Dof wa Tikitaka usajili wake ilikuwa Ni wa kawaida tu? Majina makubwa mengi na wengine hata hawakufit mfano Mario Gotze, pep Reina, Mehdi Benatia, Arturo Vidal Etc, wote walikuwa tayari Ni established super stars wanatakiwa na timu nyingi akawasajili yeye na wakaflop.
Na wewe nakuuliza swali Kama nilimuuliza mwenzako juu kitu gani kafanya pep ambacho kocha mwengine yoyote ameshindwa kufanya?