permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 12,328
- 15,036
Mkuu labda hamia kuangalia x huko hakuna stressHii timu itaniua kwa presha. Soon naacha kushabikia football.
Tukutane NBA
Mkuu labda hamia kuangalia x huko hakuna stressHii timu itaniua kwa presha. Soon naacha kushabikia football.
Tukutane NBA
Mkuu Paulo Si ndio man of the match...Ole Out.
Pogba out
Jesse kill.



Mkuu tumpeleke kwa mkopo ata CR Genk uko..ili kiwango chako kisipotee kizembe bana ..Paulo hapaswi kuuzwa kabisa ni future yetuNamuonea huruma pogba tunaua kiwango chake huzuni sana
Mkuu kwenye penati Si tuna fundi wetu Paulo!! au keshanyang'anywa kitengo.. maana jamaa mipenati yake ni balaa
Mou alikuwa sawa kabisa, hii ni timu ya biashara kwasasa.
Huwezi kuridhika na CAM ya Jesse kama sio timu biashara.
Penalty hakuna anayeweza kupiga, vivyo hivyo pia free kicks ndo hamna kabisa. Sasa hapa si mtihani huu?
15 zote hizo? 10 tu.Niliwahi kusema na nasema tena, Rashidi akifikisha goli 15 msimu huu najipiga ban kwenye Uzi huu sitaonekana mpaka mwaka 2020 mwezi wa nane..



) maana tuna bora Ulaya nzima..Hahaha alafu kweli 15 ni kama adhabu kwake ..ngoja kama atafikisha goli 1015 zote hizo? 10 tu.

Mkuu tumpeleke kwa mkopo ata CR Genk uko..ili kiwango chako kisipotee kizembe bana ..Paulo hapaswi kuuzwa kabisa ni future yetu
Na kunawatu wanasema pogba mbovu anaharibu timu, na eti hatufai.
Man u ndiyo haimfai pogba kwa sababu anacheza na wachezaji ambao ni wa viwango vya chini saana, ambao ukiwaangalia unakuta katika mechi 5 amecheza vuzuri mechi 1 au 2, ila watu humu kutwa kuwasifiaaa.
Natamani sana aondike pogba, aende madrid, then tutafute mwingine wa kumbebesha matatizo yote ya timu.
Mlimsema sana bolingo, ila saiv mmegundua matatizo mengine.
MAN U, TUNAYAJUA MATATIZO YETU, UKIFIKA USAJILI HATUYATAUI AU TUNATATUA BAADHI, LIGI IKIANZA TUNATAFUTA WA KUM BEBESHA MZIGO, LUKAKU, POGBA, SANCHEZ, JONES AU SMALLING, AND THE CYCLE GOES ON
Arsenal anapaki basi unafanya mchezo nnHahaha alafu kweli 15 ni kama adhabu kwake ..ngoja kama atafikisha goli 10
Vip uko kwenu nini kinaendelea?? Kuna usalama??

Kweli pogba wa timu ya taifa na juve ni tofauti kabisa na man u.Wengi humu hawajui mpira
Pogba na scott wapi na wapo
Pogba na lingard wap na wap
Angalia pogba wa juve na france angalia idara ya kiungo chao kama hao wakina scott na lingard wanapata hata nafasi ya kufanya nae mazoez
Hamia Manchester City mkuuNgoja nirudi timu yangu ya wolves tu huku ntajizeesha hawa wauza jezi watapata akili siku yakidoda sokoni
Tunaua kiwango chake, how?Namuonea huruma pogba tunaua kiwango chake huzuni sana