Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kama kumbukumbu zangu ziko sawa top 4 Degea alichangia sana kutukosesha kutukosesha
 
Game na Chelsea mlibahatisha tu hamkudeserve kushinda, kadri siku zinavyosonga mafuta na maji vitajitenga
 
Wan bissaka tunamchosha tu mtoto wa watu
Kuna Bissaka,James na Scott hawa ndio wanacheza kwa nguvu zote.

Pogba amepoteza mpira kizembe sana halafu utasikia eti waliacha kumsajili Bruno kwakuwa anapoteza sana mipira.

Hii timu kwasasa sio ya kujishughulisha nayo,itakuja kunifanya niviache vitoto vyangu bila baba😂😂

Sijui kama nitafuatilia tena michezo yetu kwa msimu huu,sijui.
 
Europa Alhamisi, Jumapili unacheza EPL.

Ikifika katikati ya msimu kuna michuano minne yote tight hapo ndo tutajua maana ya kuwa na experienced players.

Hapa ni mwanzo wa ligi, mechi ya tatu tunacheza hivi.

Nilishangaa sana kumuuza lukaku sina cha kwa mwambia solskjaer tunakaa kimya tu

Na tuliwaambi shida ya hii timu sio mourinho ni mfumo watu walionaga kama fala hivi mourinho hawez kumwacha herrera asepe kisha umpange pogba na scott

Martial kaumia shaw kaumia rashford na martial kama tunavyowajua mech 5 goli 1
 
Tangu Pre Season kumetokea waganga njaa wengi , wakiwemo mashabiki Wa United wakipiga ramli kuwa timu Yetu ingekula vipigo bandika bandua ...



Tulionyana humu hizo ni ramli chochezi ... Sasa naona ramli zinazidi kuendelezwa na mashabiki wa timu pinzani wakiungwa mkono na Genge Dogo la mabaki ya nduli morinho lililobaki kwenye viunga vya old Trafford ..


Hili Genge nalikumbusha kuwa tumecheza mechi mbili na tuna pointi 4 ...

Sasa endeleeni kuchoma ubani na kuvunja Nazi timu ifanye vibaya ..



Nawakumbusha Next point ni Crystal Palace pelekeni habari moto atakaoupata itakuwa ujumbe kwa wazandiki wote kuwa "Tumewashaaaa"




Nawatakia Weekend Njema..

😂😂😂

CC: Ollachuga Oc
 
Mwenzio msimu uliopita sijafikisha hata mechi 15 kuiangalia hii timu na msimu naangalia game tano za kwanza tu natemana nayo nasubiri big match nikazimie kabisa kibanda uzima
Nilishangaa sana kumuuza lukaku sina cha kwa mwambia solskjaer tunakaa kimya tu

Na tuliwaambi shida ya hii timu sio mourinho ni mfumo watu walionaga kama fala hivi mourinho hawez kumwacha herrera asepe kisha umpange pogba na scott

Martial kaumia shaw kaumia rashford na martial kama tunavyowajua mech 5 goli 1
 
Back
Top Bottom