Hata Barcelona ile sio ya leo
Kipindi tuna mabeki makini, Evra,Rio,Vida na Rafael.
:D
Ila kwa sasa tuna wachezaji wengi wenye vipaji ila warembo sana,hawajitumi.

Fikiria kipindi hicho tulikuwa na Mid ya Carrick na Fletcher/ Scholes

Now tuna Pogba,Herrera na Matic/Fred. Hawa anayejituma sana ni Herrera pekee. Wakati hao wa juu wote walikuwa wafia timu.

Njoo kwa washambulizi. Tulikuwa na Rooney na Dimiter now tuna Lukaku na Rashford. Hapa kazi sio ndogo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukitaka kuwa bingwa lazima ushindane na timu ngumu, Man U imemtoa PSG ambaye ni giant pia, ilimpiga PSG pia. Kwa Barcelona ni kipimo kingine cha kuelekea kwenye ubingwa. Huwezi kuwa bingwa kwa kuombea kupangwa na timu nyepesinyepesi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Psg siyo timu kubwa kivile sema wana sajili kwa gharama kubwa kama man u

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naiona fainali ya barca v city pale bernabeu
Sitaki kusema chochote kuhusu game yetu dhidi ya barca,ila kwa rekodi barca pia anaihofia man utd.
Hatimaye liverpool anapumzishwa kidogo baada ya kucheza mechi ngumu za uefa ila man utd kazi inaendelea.
 
Waambie Barca wawe tayari, tunakuja

Barca dhidi ya United siku zote imekuwa ni mechi ngumu, hii nayo itakuwa ngumu, after all katika hatua ya robo fainali usitegemee kukutana na timu rahisi. Kama unataka mechi rahisi nenda Europa League.

Moja kati ya mechi niliyokuwa ninaombea tukutane nayo ni hii ya Barca, kwa sababu kadhaa

1. Nadhani style ya uchezaji wa United inafaa sana ku deal na timu inayocheza kama Barca. Barca wanacheza pasi nyingi, united wanacheza counter attack zaidi. Nadhani timu inayocheza pasi nyingi inapata tabu zaidi kukutana na Barca kuliko timu inayocheza counter attack.

2. Barca ya leo si barca ya miaka ile. Pamoja na ubora wa Barca ya sasa kuwa na uwezo mkubwa lakini ukweli utabaki kuwa hii ni Barca bila Xavier, Barca bila Inniesta, Barca bila Puyol n.k. Lakini kubwa zaidi hii ni Barca ya Messi mwenye miaka 32 na si yule wa miaka 24 tuliyekutana naye 2011. Hapa ninakubali kuwa bado Barca ya sasa ni nzuri lakini hii sio ile Barca ambayo ndani ya miaka 3 ilichukua UCL mara 2.

Kipimo. Mpaka sasa kutokana matokeo United anayopata kuna watu wameanza kuamini kuwa United hana haja ya kusajili summer inayofuata. Je hatuoni kama kukutana na vigogo kama Barca ndio kipimo tosha cha mahitaji ya usajili? Hata hivyo, ukweli utabaki kuwa bila kujali matokeo ya hii mechi na Barca, bado united anapaswa kusajili Central Defender, Creative Midfielder, left footed Wenger na Right/Left back.

Kama tunataka kuchukua kombe la UCL, kulialia kwamba tumepangiwa na Barca ni kujidhalilisha (Unless tuwe tunajihesabu kama washiriki)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu itakuwa June 1, uwanja wa Wanda wa Atletico sio Bernabeu
Naiona fainali ya barca v city pale bernabeu
Sitaki kusema chochote kuhusu game yetu dhidi ya barca,ila kwa rekodi barca pia anaihofia man utd.
Hatimaye liverpool anapumzishwa kidogo baada ya kucheza mechi ngumu za uefa ila man utd kazi inaendelea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeongea kitu cha maana sana!
Kuna baadhi ya mashabiki humu ni kichefuchefu wanaenda kwenye mashindano halafu wanachagua wa kukutana nae duuh...
Unacheza na Barca then unalialia sasa kama hutaki kucheza na Barca kwenye UEFA kuna haja gani ya kuomba tufuzu kwenye mashindano haya kila mwaka!
Kulia lia ni dalili ya u-coward mwanaume unatakiwa kujiamini!

Back
Top Bottom