Naiona fainali ya barca v city pale bernabeu
Sitaki kusema chochote kuhusu game yetu dhidi ya barca,ila kwa rekodi barca pia anaihofia man utd.
Hatimaye liverpool anapumzishwa kidogo baada ya kucheza mechi ngumu za uefa ila man utd kazi inaendelea.
Mkuu kiukweli hakuna timu rahisi katika robo fainali, fc porto kumtoa liverpool ni rahisi mno kuliko man utd kumtoa psg.

Utakuja kuniambia mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uzuri wa mpila unachezwa uwanjani dakika tisini na siyo mdomoni au kwenye keyboards.
Kama ingekuwa matokea yanapangwa kwa matakwa ya mashabiki wa timu Fulani basi hakuna timu ingefungwa duniani.maana mashabiki siku zote wanataka timu yao ishinde ..so hata nyinyi mashabiki wa humu ni hali yenu kusema Barca atapita maana hamuwezi kusema kinyume.
Ila hiyo mechi si rahisi kama m unavyodhani.so tusubiri mpaka mechi zichezwe!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uefa wamebadili first leg tie Baina ya Barcelona dhidi ya Manutd badala ya Nou Camp sasa kupigwa Old Trafford na inatokana na Kuwa Mancity na Manutd walipaswa game zao kucheza usiku mmoja kiusalama isingekuwa vyema Hivyo tokana na kuwa Manutd walimaliza chin ya Mancity basi Manutd ndie amekuwa mhanga wa ilo jambo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom