3llyEmma
JF-Expert Member
- Oct 23, 2017
- 6,172
- 6,885
Rashid akitulia akatengeneza nafasi bila uchoyo.. hawa barca watakuwa wanachungulia aggrigate wanarudiShida Rashaford kuna mazingira anakuwa mchoyo had anaboa
Rashid akitulia akatengeneza nafasi bila uchoyo.. hawa barca watakuwa wanachungulia aggrigate wanarudiShida Rashaford kuna mazingira anakuwa mchoyo had anaboa
Uefa wamebadili first leg tie Baina ya Barcelona dhidi ya Manutd badala ya Nou Camp sasa kupigwa Old Trafford na inatokana na Kuwa Mancity na Manutd walipaswa game zao kucheza usiku mmoja kiusalama isingekuwa vyema Hivyo tokana na kuwa Manutd walimaliza chin ya Mancity basi Manutd ndie amekuwa mhanga wa ilo jambo
Sent using Jamii Forums mobile app
MesssssiiiiKwahyo wew saiv unatusaida kutuhabarisha? Mbn futuhi la Arsenal na Chelsea hutujulish? Huu uzi ni wa Uefa. Naomba uheshimu
Mpira unadunda
Mlishindwa hadi mkasingizia upepo.Hahaha!
Unajua kuna vita ukiingia unajua utashinda lakini resources utatumia nyingi.
Nikipangwa na nyie hata mazoezi sifanyi, wakati hao wengine lazima niumize.
Hapo vipi?City atatusumbua tukipangwa naye. Natamani City na Barca tuwaepuke robo.
Hizo unazozitoa ndiyo zinazotakiwa kubaki, labda tu zipangwe kukutana.
Mim nilishasema namtaka yoyote yule nipangwe nae na nitaruka nae dk zote 90 mamaeeeeeeUmeongea kitu cha maana sana!
Kuna baadhi ya mashabiki humu ni kichefuchefu wanaenda kwenye mashindano halafu wanachagua wa kukutana nae duuh...
Unacheza na Barca then unalialia sasa kama hutaki kucheza na Barca kwenye UEFA kuna haja gani ya kuomba tufuzu kwenye mashindano haya kila mwaka!
Kulia lia ni dalili ya u-coward mwanaume unatakiwa kujiamini!
Sent using Jamii Forums mobile app
Umemaliza kila kitu mkuu,,na OGS mapema tu baada ya kumtoa PSG alisema,United inaenda Nusu fainali bila wasiwasi,na mm naamini tunaenda nusu fainaliWaambie Barca wawe tayari, tunakuja
Barca dhidi ya United siku zote imekuwa ni mechi ngumu, hii nayo itakuwa ngumu, after all katika hatua ya robo fainali usitegemee kukutana na timu rahisi. Kama unataka mechi rahisi nenda Europa League.
Moja kati ya mechi niliyokuwa ninaombea tukutane nayo ni hii ya Barca, kwa sababu kadhaa
1. Nadhani style ya uchezaji wa United inafaa sana ku deal na timu inayocheza kama Barca. Barca wanacheza pasi nyingi, united wanacheza counter attack zaidi. Nadhani timu inayocheza pasi nyingi inapata tabu zaidi kukutana na Barca kuliko timu inayocheza counter attack.
2. Barca ya leo si barca ya miaka ile. Pamoja na ubora wa Barca ya sasa kuwa na uwezo mkubwa lakini ukweli utabaki kuwa hii ni Barca bila Xavier, Barca bila Inniesta, Barca bila Puyol n.k. Lakini kubwa zaidi hii ni Barca ya Messi mwenye miaka 32 na si yule wa miaka 24 tuliyekutana naye 2011. Hapa ninakubali kuwa bado Barca ya sasa ni nzuri lakini hii sio ile Barca ambayo ndani ya miaka 3 ilichukua UCL mara 2.
Kipimo. Mpaka sasa kutokana matokeo United anayopata kuna watu wameanza kuamini kuwa United hana haja ya kusajili summer inayofuata. Je hatuoni kama kukutana na vigogo kama Barca ndio kipimo tosha cha mahitaji ya usajili? Hata hivyo, ukweli utabaki kuwa bila kujali matokeo ya hii mechi na Barca, bado united anapaswa kusajili Central Defender, Creative Midfielder, left footed Wenger na Right/Left back.
Kama tunataka kuchukua kombe la UCL, kulialia kwamba tumepangiwa na Barca ni kujidhalilisha (Unless tuwe tunajihesabu kama washiriki)
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa sawa,Umeongea kitu cha maana sana!
Kuna baadhi ya mashabiki humu ni kichefuchefu wanaenda kwenye mashindano halafu wanachagua wa kukutana nae duuh...
Unacheza na Barca then unalialia sasa kama hutaki kucheza na Barca kwenye UEFA kuna haja gani ya kuomba tufuzu kwenye mashindano haya kila mwaka!
Kulia lia ni dalili ya u-coward mwanaume unatakiwa kujiamini!
Sent using Jamii Forums mobile app
DuhHahaha!
Unajua kuna vita ukiingia unajua utashinda lakini resources utatumia nyingi.
Nikipangwa na nyie hata mazoezi sifanyi, wakati hao wengine lazima niumize.
Jambo zuri kuishi kwa matumainiNingeumia kupangwa na Liverpool au Man city after all barca haiko vizuri sana msimu huu,
Dembele kaumia na atakuwa nje kwa two months ambaye angepoze threat kubwa sana kwenye right wing yetu kwa Dalot au Young
Vidal hayuko form sana,
Beki line ya Barcelona haina nguvu sana hivyo Lukaku anaweza kuwanyanyasa vizuri tu kina pique
Sent using Jamii Forums mobile app
We didn’t want the ball because when Barcelona press and win the ball back, we lose our position – I never want to lose position on the pitch so I didn’t want us to have the ball, we gave it away, I told my players that we could let the ball help us win and that we had to be compact, closing spaces.” (jose mourinho).Mid ya 5 utatembea sikuhiyo Matic, Herrera, mc Tomminay na pogba....tunaweza fanya lolote tukumbuke Barça defence yao sio makini sana endapo tutatumia nafasi vizuri turawaadhibu sana maana wanamakosa mengi sana..... Lukaku atamsumbua sana pique trust me and save this comment......Semi final babe, We are coming for you
Sent using Jamii Forums mobile app

*Kivip sasa?View attachment 1046178