Mbimbinho
JF-Expert Member
- Aug 1, 2009
- 8,328
- 7,804
Hahhahaa, ndo maana nikasema ana roho ya paka, hafagi huyu jamaaJamaa ananifurahishaga sana,ukimpiga huku anahamia kule. Hivyo hivyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahhahaa, ndo maana nikasema ana roho ya paka, hafagi huyu jamaaJamaa ananifurahishaga sana,ukimpiga huku anahamia kule. Hivyo hivyo.
Kaifiche kwa @OllarchugaKiukweli nimeumia sana Man u Kushinda .. kesho sijui sura yangu nitaiweka wapi
Nimetoka kusikiliza sasa hivi, check na jamaa wanafanya the United Stand pamoja na FulltimeDevils ni full shangweHapa silali mpaka press ya ole itoke..


Neema amepaniki






Labda kama bado uko na msiba wa boss Ruge😂
Hongera mkuu yametimia
Utabiri wako umepinduka
Nadhani matokeo unayo huko uliko mkuu...Huna timu ya kumfunga PSG hata wakicheza 8 ndani.
Mungu katenda miujiza tumeshindaHahaaaa Mungu wa Lukaku!!!
Ama kweli jiwe walilolikataa waashi.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Fala wewe umeona hizo sala za mlevi zimejibu ?Alisikika mlevi mmoja akisali![]()
Valencia, MatrialWoyoooooo Board of Directors mnataka Ole Guna afanyaje tena Please Give him a contract with Big Pay.... No Matic Pogba Hereira Sanchez, Lingard Mata, He Put the Paris in Red....