xhongmaster
Member
- Aug 1, 2018
- 62
- 57
Kabebwa nan ww?? hujui mpira fala..!!ndo masifa nisiyoya takaga kwa hawa mwanitesa wakisha bebwa mnaongeaga sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabebwa nan ww?? hujui mpira fala..!!ndo masifa nisiyoya takaga kwa hawa mwanitesa wakisha bebwa mnaongeaga sana
Pogba hanisumbui Kama anavyonitia was was, matic na herera...Pogba ni main man tuKusema ukweli pogba ametucost sana kwa ile red card ya kiboya..Nimeangalia line up yetu naona kocha ameanzisha mabeki watano.i wish km pogba angekuwepo ingekuwa rahisi sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana KIMPEMBE...Ila nikwambie tu THIS IS MANCHESTER.Kiukweli nimeumia sana Man u Kushinda .. kesho sijui sura yangu nitaiweka wapi
Hata Kwa PSG pia Mlisema HiviWe nyumbu tulia Emirates amwezi shidah..
Dah kumbe nilitoa NUKTA Samahani wadau..
We nyumbu tulia Emirates amwezi shidah..
Mkuu ingekuwa rahis kama pogba angekuwepo maana kuna muda kiungo ilitekwa kabisa.Pogba hanisumbui Kama anavyonitia was was, matic na herera...Pogba ni main man tu
Refa alichelewa Kumaliza mpira mshenzi yule.... Wangechomoa maan PSG ana tabia kama za MAN CITY
Na alivyomtuliza kimpe hahahahaLukaku kanifurahisha alivoshangilia goli la tatu, kamfuata ya di maria mbele kampigia kelele alafu ndo akaenda kuungana na wenzake kushangilia.