Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

hahahahahaaaaaaaa comment yako imenichekesha sana kuliko tukio la edo kurudi nyumbani bila ya mkia.

siamini ya kwamba klabu ilimnunua fred kwa ajili ya kuwabania manchester city wasimsajili bali klabu ilishamuona fred kama ni potential midfield ambaye atatusaidia kwenye harakati za kurudisha heshima iliopotea kwa takribani miaka 6 ila kwenye ishu ya dau ni kweli shakhtar wametufanyia uhuni kiupande fulani.

wapo wachezaji wanaposajiliwa kwenye klabu mpya msimu wao wa kwanza wanarudisha fadhila za kusajiliwa kwao lakini wapo wengine wanastruggle sana na hii inatokana na changamoto za kimazingira na kimfumo, cha msingi ni kuendelea kuomba fred awepo kwenye hili kundi la pili kama ilivyokuwa kwa victor lindeloff na si lile la tatu (flop player kama bebe).

nyakati fulani jose mourinho aliwahi kuulizwa na waandishi wa habari kwa sababu gani hampi nafasi fred?
jose akajibu ni sababu za kimfumo na alilezea ya kwamba klabu ina tatizo la kiulinzi ndio maana tunaruhusu kufungwa hivyo basi kwa style ya fred uchezaji wake hauleti balance kwenye eneo la ulinzi, jose alikuwa anatuaminisha ya kwamba ili fred apate nafasi ya kucheza ni lazima defence ionyeshe mabadiliko.

Na hapo ndipo tatizo kuu la performance isioridhisha kwa fred ndipo lilipoanzia kwa sababu jose hakutaka kumpa game mara kwa mara ili kuonyesha improvement ya kiuchezaji (match fitness).
Hata nyakati zile tulizoshuhudia vita ya maneno kati ya jose mourinho dhidi ya paul pogba tulishuhudia jose mourinho akiendeleza tabia ya kumweka nje fred haliyakuwa kiucheza ndiye mchezaji pekee ndani ya timu yetu mwenye uwezo wa kuziba nafasi ya paul pogba kwa ufasaha zaidi, hatimaye jose mourinho alimuona marouanne fellaini kama ni mtu sahihi kuziba nafasi ya pogba pamoja na mctominay.

ujio wa solskjaer ametuletea falsafa ya 4-3-3 kwenye mechi zake takribani zote alizocheza, kwa hali ya timu yetu ilivyo hata kama mimi ndiye solskjaer basi ningeendelea kumbatiza kwa moto wa gesi fred the red.

hivi ni kweli perreira na mc tominay ni wachezaji mahodari kuliko fred?
kwa mtazamo wangu si kweli, sababu kubwa inayopelekea wawili hao wapewe nafasi mbele ya fred ni kwa sababu mpira baadhi ya nyakati hatuangalii chenga na rangi bali balance na impact inayoletwa na mchezaji akiwa uwanjani pindi unapokutana adui mwenye sifa kama za kwako.
ina maana sababu ile ile iliopelekea mourinho amweke nje fred ndiyo anayoendelea kuitumia ole gunnar solskjaer nyakati hizi nayo ni sababu ya balance kwa sababu bado defence yetu haijawa katika kiwango cha juu ukilinganisha na kuta za timu nyengine kama atletico madrid, liverpool. timu zote tunazozifahamu basi hazikosi wachezaji wenye mindset, form, uzoefu na uwezo wa kucontrol game na hapa ndipo anapozidiwa fred na vingo tulionao ndani ya klabu.

  • kwa mujibu wa timu yetu anapoumia matic nafasi yake inapaswa izibwe na mctominay kwa sababu ni defensively solid player dhidi ya fred.
  • anapoumia herrera nafasi yake inapaswa izibwe na perreira kwa sababu ndiye mwenye uwezo wa kuleta balance halafu pia ni rahisi kufanya naye mawasiliano kwa sababu anaweza kuzungumza lugha ya kiingereza.
  • ina maana kwa mpira anaocheza fred eneo pekee ambalo ataufurahia mpira wake ni nafasi ya paul pogba, wakati huu tunaowania kuwepo top 4 je unaweza kumfanyia rotation pogba kwa ajili ya fred?
changamoto anazokutana nazo fred ni tofauti kabisa na changamoto alizokutana nazo victor lindeloff msimu uliopita na mwanzoni mwa msimu huu, wapinzani wa lindelof ambao ni smalling, bailly na jones wote kwa pamoja ni rahisi kupambana nao kwa sababu ya viwango vyao na hata takwimu zao za majeruhi.

lakini kwa fred hali ni tofauti kwa sababu matic, herrera na pogba tayari wameshajijenga kama ni nguzo muhimu ndani ya timu yetu hivyo basi fred anahitajika kuutumia msimu ujao kwa kufanya bidii kubwa sana ili amuondoe mmoja wapo huku akiombea klabu ifanye usajili wa kumleta mlinzi hodari atakayemuwezesha kumpunguzia majukumu ya kulinda.

tumpe muda na nafasi ya kudhihirisha thamani yake, nataka niendelee kuamini ya kwamba fred hakuja uingereza kujifunza lugha ya malikia iliomchukua miaka mingi carlos tevez kuifahamu bali amekwenda uingereza kufanya kazi.
Tumpe muda Fred

There u are broo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu unatambua kwamba valencia anakosa mkataba kwa ajili ya huyu dalot?
Tutakuwa tunachekesha sana...
1. Man City= Kyle Walker
2. Liverpool=Alexandre Arnold
3. Arsenal=Bellerin
4. Spurs=Trippier/Alderweired
5. Chelsea=Azpilicueta
6. SISI=DALOT
Tutachekesha sana, sana, sana.

Toka hii timu imeanza hatujawahi kuwa na mtu laini kama huyu
1. Garry Nevile
2. Rafael
3. Valencia
4. Young
Haya ni majembe yana nguvu na kupanda mbele kwa spidi kubwa na krosi za hatari za kuvunja mabeki mbavu.
Huyu dogo atakuwa jipu kubwa kama tusipotafuta namba mbili ya maana.

LABDA MUMTAFUTIE NAMBA NYINGINE HUKO SIO BEKI NAMBA 2.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
De Gea jana hakuwa poa sana,

Sababu inaweza kuwa mkataba na kuongezewa mshahara anao taka ama??

Mtu mwingine anaboa ni Young!! Sikatai anajituma sanaa tatizo hana akili uwanjani.

Young anafanya makosa mengi sana uwanjani, game ilopita pia alisababisha goal kwa uzembe kabisa!!

Sikuamini alipofunga goal juzi na sikushangilia hadi niliporidhika kuona tena
emoji38.png
emoji38.png
emoji38.png
nilidhani kapiga cross kumbe kafunga bana!!!
Aisee, kumbe kuna mtu anaweza kumlaumu huyu jamaa!!!! Endelea kumshabikia Pereira na Dalot huenda wakakuvusha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kuna brilliant saves ambazo inabidi umpe sifa mtu aliyeokoa badala ya kumlaumu mchezaji aliyekosa

Hivi mfano ile mechi dhidi ya Arsenal ambapo Degea aliokoa michomo kama 13 utawalaumu wachezaji wa Arsenal ambao hawakufunga magoli au utaongelea saves alizookoa Degea?

Au mechi ya Spurs na United ya juzi juzi utawalaumu akina Dele na Kane kwamba walikosa magoli au utampongeza Degea?

Logic yangu ni kwamba unaposema flani amekosa magoli, huwa ni pale ambapo mfungaji anakuwa hajatimiza wajibu wake vizuri (amekosa nafasi za wazi au yeye amepiga mpira vibaya)

Sikatai kwamba kuna wakati Lukaku anapoteza nafasi, lakini si kwa kiwango ambacho watu wanataka watuaminishe. Na Wachezaji wote huwa wanakosa nafasi hata akina Messi, Aguero, Salah, Kane, CR7 n.k

Uzuri takwimu hazidanganyi.

Katika umri wa miaka 25, tayari Lukaku yupo top 19 of all time top scorer katika premier League. Kwa wachezaji wanaocheza sasa yupo nyuma ya Aguero (161) na Kane (123). And he is not even a penalty taker.

Katika umri wa miaka 25, ni all time top scorer wa Belgium national team akiwa na magoli 45, amemzidi hata Aguero mwenye magoli 38 na Kane

Mimi nadhani kuna kitu behind the scene ambacho kinamfanya Lukaku asipendeke, and it is psychological. His physical appearance, his colour and the likes, nikisema hivi kuna watu hawatanielewa lakini psychologist studies zinaonesha muonekano wa mtu unaweza ku affect the way we perceive some one.

Kama mtu anakuja anakwambia bora Morata kuliko Lukaku ....... Duh lazima mtu uchoke.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umeua, KWELI TAKWIMU HAZIDANGANYI.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ambacho nimejifunza kwako mzee ni kwamba tu unampenda Lukaku hvyo unashindwa kuona hata yale mapungufu yake..nway

mi nilikuwa nakueleza tu mtizamo wa mashabiki wengi wasiomkubali Lukaku kihivyo na sio kwamba wanaona ni mchezaji mbaya

sema wanaona sio Level ya UNITED,kingine nilichojifunza hapa ni kwamba mashabiki pia tuna tofautiana, wengine kama ww

nahisi wanapenda tu matokeo na sio lazma Burudani,(tofauti ya goli la nje ya box na goli la kawaida ndani ya box ni burudani mkuu)

mimi kwa upande wangu napenda matokeo na burudani vyote na naona kuna mastriker bora zaidi ya Lukaku kiufundi na wenye uwezo wa kupiga bao nyingi vile vile..i rest my case!
Kwa hiyo Martial ni zaidi ya Lukaku?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tutakuwa tunachekesha sana...
1. Man City= Kyle Walker
2. Liverpool=Alexandre Arnold
3. Arsenal=Bellerin
4. Spurs=Trippier/Alderweired
5. Chelsea=Azpilicueta
6. SISI=DALOT
Tutachekesha sana, sana, sana.

Toka hii timu imeanza hatujawahi kuwa na mtu laini kama huyu
1. Garry Nevile
2. Rafael
3. Valencia
4. Young
Haya ni majembe yana nguvu na kupanda mbele kwa spidi kubwa na krosi za hatari za kuvunja mabeki mbavu.
Huyu dogo atakuwa jipu kubwa kama tusipotafuta namba mbili ya maana.

LABDA MUMTAFUTIE NAMBA NYINGINE HUKO SIO BEKI NAMBA 2.

Sent using Jamii Forums mobile app

170C0C1A-D661-44BE-B7E5-E5C930148BD8-833-0000006C57500369.JPG

Oleksandr Zinchenko

Unaifaham kazi ya huyo dogo pale city? Unaujua umr wake

Kwa kukusaidia manchester united imekuwa na rekod mbovu ya kununua mastaa wakaja kufanya poa tofauti na madogo inaonunua kisha kuwakuza na kuwa nguzo ya timu
 
Manchester United's missing players against PSG:

Alexis Sánchez

Jesse Lingard

Anthony Martial

Juan Mata

Ander Herrera

Nemanja Matić

Phil Jones

Antonio Valencia

Matteo Darmian

Pogba (Red card)

D00QvvGWoAE22h7.jpg
 
Sanchez ni wa kuuzwa au kutolewa kwa mkopo..yani hafai kubaki utd msimu ujao..jamaa ameisha tumuache akatafute maisha sehemu nyingine.

Sent using Jamii Forums mobile app

Hili nakubaliana naww sanchez timu imemshinda kbs na haya majeraha ya mara kwa mara ndio yanamaliza kbs

Tukatafute mtu nadhani tukimpata gareth bale atatusaidia na hivi madrid wanavyomzingua ndio wakati wa kumfuata
 
Mabadiliko ya kanuni za mpira kwa msimu ujao 2019/2020 .
.
.

The International Football Association Board (The IFAB) , imebadilisha baadhi ya kanuni za mchezo wa soka kwenye kikao kilichofanyika wiki iliyopita nchini Scotland . Mabadiliko hayo ni kama ifuatavyo:-
.
.

1. KUTAKUWA HAKUNA MREJESHO KUTOKANA NA PIGO LA PENATI
.

Mchezo utasimama kwa kuanzishwa kama penati imeokolewa au imegonga mwamba , hii ina maana hakuna tena nafasi ya kufuata mpira na kufunga ( Rebound ) kwa maana hiyo wachezaji hawatokuwa na uhitaji wa kujipanga nje ya 18.
.
.

2.MPIRA KUCHEZWA NA MKONO.

Kuanzia Juni mosi goli litakalofungwa ambalo limegusa mkono wa mchezaji kwa maksudi au bahati mbaya ( Mfungaji ) halitakubaliwa.
.
.

3.MABADILIKO YA MCHEZAJI
Mchezaji ambaye atakuwa anafanyiwa mabadiliko ataruhusiwa kutoka kupitia upande wowote ule wa uwanja .
.

4. GOAL KICK
Mchezaji ataruhusiwa kugusa mpira hata ndani ya eneo la 18 kutoka kwa kipa , ambapo sasa hivi ni mpaka mpira utoke kwenye 18 ndio unaruhusiwa kuugusa.
.
.

5. KADI KWA MAKOCHA.

Makocha sasa nao watakuwa wanaoneshwa kadi ya njano na nyekundu tofauti na sasa hivi wanaambiwa tu toka kwenye eneo la benchi la ufundi.
.
.

6. KWENYE UKUTA WA KUZUIA MIPIRA ILIYOKUFA

Wachezaji wa upande ambao wanapiga mipira iliyokufa ( freekick ) hawatoruhusiwa kwenda kujumuika kwenye ukuta wa timu ambayo inazuia mipira hiyo , tofauti na sasa huwa wanachanganyika kama kuwatoa mchezoni.
.
.

7. PENATI .

Magolikipa wataruhusiwa kuweka mguu mmoja tu kwenye mstari na huo mwingine wataamua wao wenyewe waweke wapi , tofauti na sasa kwamba miguu yote lazima iwe kwenye mstari wakati anapigiwa penati.
credits to George Ambagile
 
Ah ah io ya penalt io

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili nakubaliana naww sanchez timu imemshinda kbs na haya majeraha ya mara kwa mara ndio yanamaliza kbs

Tukatafute mtu nadhani tukimpata gareth bale atatusaidia na hivi madrid wanavyomzingua ndio wakati wa kumfuata
Bale tena mkuu kiande yule pale madrid tu anazingua alaf united kwel unamfuatilia kule spain lakin hyo hatufai kuja united

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: ARV
Hili nakubaliana naww sanchez timu imemshinda kbs na haya majeraha ya mara kwa mara ndio yanamaliza kbs

Tukatafute mtu nadhani tukimpata gareth bale atatusaidia na hivi madrid wanavyomzingua ndio wakati wa kumfuata
Gareth Bale ndio Sanchez wa Madrid (kwa form ya sasa ya Sanchez)

Always amekuwa overrated huyu mtu

Ukiacha mbio, sijui ana nini cha ziada

He is prone to injury

Huko nyuma ameturingia

Sasa hivi hata Madrid hawamtaki, sisi ndio tumchukue

Kubwa kuliko yote, pamoja na madhaifu yake yote niliyoyataja Madrid atataka atupige sio chini ya £80million

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom