Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mgeukie jirani yako, kisha mwangalie usoni mwambie “WEWE NI KIMPEMBE”


Sent from my iPhone using JamiiForums
Kweli Karma ni mbaya sana

Huyu jamaa kwenye mechi ya OT alicheza rafu nyingi sana

Na kabla ya kutufunga lile goli ilipaswa apewe kadi za njano hata tatu (alifanya madhambi 3 makubwa ya kadi ya njano)

Akaachwa aendelee kucheza, mwisho wa siku akatufunga

Leo ametuvusha

THAT IS KARMA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Walianza dawa yenu Totenham... Akakalia
Wakahamia Arsenal Akakalia
Wakaenda kwa Chelsea akakalia
Akaja Liver pool akatorokea mapokezi
Wakamleta demu wa mkoan Psg huyu tukasema tunamfata huko huko...
Kituo kinachofuata ni Emirates...
 
IMG_2336.JPG



Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mkuu achana na Dalot ni mpira mmoja tu uliosababisha penalt kapiga wa maana dakika zote 55 alizocheza. Man of the Match ukiachana na Lukaku ni yule yule Tominay amewavuruga sana pale kati.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kwanini huwa unaponda wachezaji wa timu yako, tena sio wabovu ...... Wanafanya vizuri tu

Dalot hata kama angekuwa hajagusa mpira dakika zote, kwa kusababisha tu penati anapaswa asifiwe kwa nyimbo na mapambio

Mimi sita taja mchango directly, ila nitakuuliza tu swali moja

Kipindi Bailly yupo upande wa kulia na kipindi Dalot ameingia upande huo wa kulia, muda gani ulikuwa comfortable zaidi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom