Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

poleni sana ndugu zetu, muliyataka wenyewe, chaguo lenu wenyewe, acha muisome nambaaa, musome nambaaa, kipigo mbele kwa mbele, oooh mbelee kwa mbelee, tunawaacha mupigwe tanooo, mupigwe tanooo, kipigo mbele kwa mbelee
 
Hiyo hapo mkuu,

Watch Manchester United Live Stream Online Free Today Match TV

hii ni kwa game zote za manchester united. Free ni wewe na kifurushi cahko cha data tu.

Na click wapi kati ya hizo link kuona game?? Hiyo Live ama hiyo all football live

Screenshot_2019-03-06 Watch Manchester United Live Stream Online Free Today Match TV.png
 
Mimi nazungumzia players jamaa alio waorodhesha ofcourse Man Utd inastahili pia kusajili talented players

Sent using Jamii Forums mobile app
Hao waliotajwa na hawa niliowataja wote walikuwa na potential ya kuwa ma superstars

Lakini kuna baadhi (kundi la kwanza) wameweza kuwa ma superstar lakini wengine wameishia kubaki wachezaji wa kawaida

Kimsingi nilitaka kuonesha hata hao akina CR7 kuna kazi imefanyika pale united ndio maana wakaja kuwa world class players.

Kwa hiyo united anapaswa kupewa credit, kwani vinginevyo wangeweza kuishia kuwa kama Bebe

Asante Mkuu kwa kunisaidia kumuelewesha jamaa, maana inaonekana haelewi tofauti ya potential ya kuwa superstar na kuwa superstar kamili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoja niwatafute kamati ya misiba watuletee maturubai na masufuria ya kupikia mapema Mkuu Ollachuga waandae wale vijana wa kuokota watu watakao zimia wakati wa kuaga mwili wa marehemu.
 
Acha ubishi wewe angalia bei ya de gea tuliyomchukulia kutoka atletico,angalia bei ya Martial hao wote walibreak record za dunia sababu ni uwezo wao.valencia alkua na kiwango bora kabisa cha kumreplace cr7

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe Ndio acha ubishi, they became superstars under our watch, they were talented but not superstars, we made them

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom