HARUFU
Platinum Member
- Jan 21, 2014
- 31,704
- 48,140
Si mmeona mlipotangulia GOLI moja mkarudi nyuma, nini kilichofuata?Tukipaki basi tutapigwa nyingi!! Bora kufunguka!!
Mkakaribisha mashambulizi, na PSG wakabahatika kupata GOLI la kusawazisha.
Na mlipoanza kucheza mpira wa wazi na kushambulia, mkapata tena GOLI, na kuanza kushambuliana zamu kwa zamu

