Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Wakuu habarini.... wakati Leo tunaangalia Real Madrid anavyopambana na Ajax naimani tutakuwa na mawazo juu ya mechi yetu ya kesho....

Nimeangalia traveling squad plus kuwaona kina Sir Alex na David Gill wakiwa na tabasamu kuna vitu Binafsi vinafanya niwe positive juu ya Mechi ya kesho....

Kwanza Inawezekana kesho Matic na Herrera wakaanza pasipo kutarajiwa na naamini hichi tulichokifanya leo kusafiri na hawa watoto ni kuwatoa tu PSG mchezoni kuelekea kesho, wasipange ujinga wa Man marking Kama kawaida yao... So kwa upande wangu kesho Matic na Herrera wataanza na Tomminay katika kiungo.....

Upande wa pili hawa hawa madogo tuliobeba, wanaweza wakaweka historia na wakajihakikishia namba ndani ya timu ya wakubwa endapo wataanza kesho...kwanza tuliowachukua wote Garmer, Gomes,Chong na Greenwood na captain wa under 18 Williams ni wachezaji wenye mentality ya kiuaji sana na wanaweza shangaza dunia kesho....

Hawa watoto wanne wanaweza kutupa kitu kizuri kwanza aina yao ya uchezaji bado haijajulikana specifically na PSG, maana hawajacheza game nyingi kiasi cha kusema PSG wawafatilie, Pia hawa watoto wanajua maisha yao ya professional na fame yanaanzia game ya kesho endapo watafanya vizuri....so naimani wanaweza kujituma zaidi na kutupa kitu cha tofauti....

All in all naimani kesho tunaanza na strikers wawili kama game zetu 2 zilizopita.....

My orediction...

De Gea
,bailly, Linderlof, smalling, shaw
Herrera Matic. Tomminay
Young Rashford. Lukaku

#GGMU

Sent using Jamii Forums mobile app
Matic na herrera hawajasafiri na kikosi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ole: "Everyone expects us to go out easily but that doesn't happen with Manchester United. We are going to see players who will give their all."
This Attitude is unbelievable
20190306_161135_rmscr-1.jpeg
 
Hapana, walikuwa talented tu tukawachukua. We made them super stars. Wamefahika sana walipokuja United.

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha ubishi wewe angalia bei ya de gea tuliyomchukulia kutoka atletico,angalia bei ya Martial hao wote walibreak record za dunia sababu ni uwezo wao.valencia alkua na kiwango bora kabisa cha kumreplace cr7

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wadau wa united,wengi miongoni mwetu tulikuwa na maoni mbalimbali kuhusu udhaifu wa timu yetu kwenye upande wa mbele kulia hadi ikadhaniwa perisic kuja kufanya kazi hiyo. Hilo dili liliingia luba kutokana na gharama hasa ikizingatiwa umri wa mchezaji husika. Wengi wetu tulimsapoti mwalimu wa wakati huo kuwa apewe mahitaji yake ili akose sababu ya kwanini timu haipati matokeo tarajiwa,lakini jana nimeona game ya real madrid na ajax sikuwahi kuona mtu akizungumzia uwezekano wa kumsajili huyu dogo zayech mmorocco. Binafsi amenivutia kukaa upande ule endapo ole ataona kuna ulazima wa kusajili namba hiyo msimu ujao. Kwa wajuvi zaidi toeni maoni yenu kwanini dogo hajaonekana kuvutia macho ya watu.
 
Acha ubishi wewe angalia bei ya de gea tuliyomchukulia kutoka atletico,angalia bei ya Martial hao wote walibreak record za dunia sababu ni uwezo wao.valencia alkua na kiwango bora kabisa cha kumreplace cr7

Sent using Jamii Forums mobile app
Angalia hiyo orodha, kisha angalia na hii orodha hapa chini

Depay,

Bebe,

Oberten,

Zaha,

Kisha muamue kuhusu ubishi unaoendelea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom