mbongopopo
JF-Expert Member
- Jan 24, 2008
- 1,611
- 764
Red for life
Tunawasubiri pale tuwashikishe adabu maana leo mmezidhalilisha sana jezi za fly emirates so nawahakikishia mtalipa tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee tuache masihara..hii fixture ya february to march tulivyokuwa tunaiangalia imekuja kuwa tofauti kabisa,,yaani tumetembeza vichapo kwa asilimia 85Na katika mtiririko wa mechi ngumu za ole tumepoteza moja tu ya psg ambayo tumerudisha tulichopoteza
Lukaku yupo kwenye form sana. Nimefuatilia hizi match za tatu za mwisho, vyombo vya habari vya Uingereza havimpi pongezi anazostahili. Kind of racism hivi.
Unahangaika sana.Chelsea alipigwa tatu na Napoli akaja kushinda nne gemu ya pili..
Hizi mambo zipogo tu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani ukitajiwa wachezaji waliocheza Leo na huu ushindi mkubwa ni vitu viwili tofauti....watoto wadogo wadogo hata nywele za kwapa hawana
Sent using Jamii Forums mobile app
Yule kipembe mjinga sana, na mzembe sana.
Huyu jamaa ananishangazaga sanaWe jamaa nina uhakika huwa huangali mpira , ukibisha nitaleta uthibitisho.
Sent using simu mbovu
Chelsea alipigwa tatu na Napoli akaja kushinda nne gemu ya pili..
Hizi mambo zipogo tu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Ifiche kwenye kwapa mkuu. Itatosha kabisa.Kiukweli nimeumia sana Man u Kushinda .. kesho sijui sura yangu nitaiweka wapi
Karma is like 69Yule kipembe mjinga sana, na mzembe sana.
Sent using simu mbovu
Hahaha " mtu kwao, mtu kwao , mtu kwao"Wapuuzi tu..Rashford akifunga kelele kibao
Hahaha " mtu kwao, mtu kwao , mtu kwao"Wapuuzi tu..Rashford akifunga kelele kibao