HARUFU
Platinum Member
- Jan 21, 2014
- 31,704
- 48,140
Moja/Moja mpira unaendelea bado kipindi cha kwanza.Updates wakuu sie wengine tuko bush mbaya
MAN U walitangulia, PSG wamerudisha.
Sasa hivi ni Dakika ya Ishirini kipindi cha kwanza
Moja/Moja mpira unaendelea bado kipindi cha kwanza.Updates wakuu sie wengine tuko bush mbaya
DEGEA kawakataliaHuuuuuhuuuuuuuuu aaagriiii
LUKAKU tena.
kocha si alitoe aweke madogo wenye kiu na mafanikio
Yani Fred ni mzito mwili mpaka akili.
Sijui anataka nafasi gani ya kuonyesha uwezo wake,au alisajiliwa kwa kitazama highlights?
Left back na left wing ya PSG wanaachwa sana free. Young anaingia sana ndani ambapo tayari tuna centre backs 3Young na Baily ni kama wachezaji ambao wamekutana tu uwanjani.. hawaelewani kabisa
Sent from my iPhone using JamiiForums
Tumesimama hapaPSG 1-2 MAN U (1H) 3-2(FT)
PORTO 2-2 ROMA (1H) 3-2(FT)
Sijui mazoezi makali au kukamia sana mechi. Dr wa timu atimize wajibu wake