Ngoja niwatafute kamati ya misiba watuletee maturubai na masufuria ya kupikia mapema Mkuu Ollachuga waandae wale vijana wa kuokota watu watakao zimia wakati wa kuaga mwili wa marehemu.
Wa kwangu umetiki apa ..Man u ajamuacha mtu salama...Mikeka imechanika leo![]()
Endelea kuota
LEO KUNA MSIBA MKUBWA SANA HAPA
Mkuu nitaona uongozi wa MU ni wapumbavu kama hawatampa team Gunnar.Sir Alex Fugerson alikuwa jukwaani, sijui kama atalala leo. OGS apewe timu. No fought. Kwa majeruhi tuliyonayo...
WE MCHAWI.. NJOO HAPA... pumbaf...... Inaijua MUFC? UNAJUA NINI MAANA YA shetani?Endelea kuota
Siku ya ole kupgwa goal 7 imefika