chai ya rangi
JF-Expert Member
- Mar 7, 2026
- 1,041
- 3,089
ungemtag smartIshaexpire hii
Kuja na ingine
ungemtag smartIshaexpire hii
Kuja na ingine
Suala si pesa.. suala hapo ni la kihisia zaidi...Umeandika kwa uchungu sana hii, swali ni kwanini uangalie kipato cha mwanamke wako na sio kuangalia cha kwako na jinsi ha kukigawa ili muishi? kulingana na hicho kipato chako? Huoni kama haupo fair na huo ni ukatili dhidi ya kiumbe Mwanamke?
Hoja yako umeifanyia rejea kwa feminism au patriarchy?. Katika patriarchy ulichokiongea ni sawa, lakini kumbuka katika patriarchy hiyo hiyo mwanamke anabaki nyumbani.na hana access ya kuwa na kipato.Mada imekuja baada ya ongezeko la Marioos kuzidi, wanaume wamekua wanapenda sana kupewa, wamekua wanaomba sana, na kumkumbusha mwanamke kua kazi yake sio 'KUHUDUMIA' familia kiuchumi, hilo ni jukumu la mume, kazi ya mwanamke ni 'KULEA' familia na kuleta amani na utulivu kwenye familia na sio zaidi ya hapo
Mimi huyooo kauzu zaidi ya dagaa😄Kuna watu hawachangii hata hicho kidogo! Na hela anakuwa nazo! 😊
Wapo wanawake ni makauzu sio poa.
ajira ipo Znz huko kwenye mashamba yangu ya minaziSawa nije na vifaa kabisa?
Unampango wa kuniulia kwenye mashamba yako kama kafara eeh?ajira ipo Znz huko kwenye mashamba yangu ya minazi
Ulifanya vizuri sana kumkimbia bila hivyo ungeingia kwenye mtego mkubwa ungekutesa maisha yote, ungekua unahudumia familia na yeye pesa zake anaenda kulewa na kuhongaKuna kijana mwanajeshi nilikimbia bila kuangalia nyuma!
Nipo chuo enzi hizo alionyesha yupo serious anataka kunioa.
Story zake hizohizo! Nataka ukimaliza chuo uwe mfanyabiashara tusaidiane maisha nikawa namsikiliza tu.
Kilichonikimbiza! Hiyo siku nipo nae muamala ukaingia baba kanitumia pocket money.
Yule mwanaume kwanza nicheke!!🤣 Akaniambia toa basi hela nijaze mtungi wa gas halafu mtungi wake ni ule mkubwa.
Kudadeqqq! Nilijizungusha mwisho nikamwambia hii ni hela ya kumalizia ada.
Baada ya hapo mbona sikutaka mazoea nae tena!!
ni mwendo wa fujo zisizoumiza.Nilivyopata tabu kukesha na vitabu vya Frank Wood chuoni halafu nipate hela niwe humble, si ujinga huo. Mfukoni kikiingia kimilioni ambacho akipo ndani ya bajeti lazima mji mzima ujue
Ni kweli! Sikutaka mambo mengi kwa yule mtuUlifanya vizuri sana kumkimbia bila hivyo ungeingia kwenye mtego mkubwa ungekutesa maisha yote, ungekua unahudumia familia na yeye pesa zake anaenda kulewa na kuhonga
ni kujifariji tu dear si unaona ukitunzwa vizuri utelezi unatoka sasa ukijifanya mwanamke wa shoka hata utelezi hakuna ina maanisha unakua una stress sana kwa kujiveka majukumu yasiyokua yako.Kitonga? Thubutuuu!! 😹😹😹
Tena sisi ndio wabishi hata kutoa penzi. Mpaka tujisikie sisi sio wao kisa tu jogoo anawika..!!
Yaani kumiliki wanawake vigego ni ngumu tofauti na nyie mnaopenda kulipiwa bills mahi 😹😹😹
Nyie wanawajua wakiwaingizia pesa ya salon chop chop mnaloa. Unaanza “Baby i miss you” 😹
🤓 utakuwa ndo manager, kuna vijana watakuwa chini yako.Unampango wa kuniulia kwenye mashamba yako kama kafara eeh?
Hapo sawa 😅🤓 utakuwa ndo manager, kuna vijana watakuwa chini yako.
Heeeee kwahiyo unalia sio kwa sababu mume kafariki, ila unalia sababu uhakika wa uchumi mzuri unakua huna, aiseee😮😮 ephen_Mwanamke ukiwa na hela hata mume akifariki huwezi kulia hadi ukazimia sababu una uhakika wa milo 3 kwa watoto, ada ya shule na mengineyo
Hakuna mwanaume rijali mwenye pesa akatamani mwanamke wake amlipie bill walokula mgahawani, jamani tafuteni pesa sana msikimbie majukumu yenuuuuSuala si pesa.. suala hapo ni la kihisia zaidi...
Ndio maana nikiona mwanamke hata kwa uwezo wake mdogo alionao wa kipato, akajitutumua walau kunipa zawadi, tukala mgahawani akalipa bill, tumetembea njiani akaona kitu kizuri akaninunulia , nipo nyumbani akaniletea kinywaji nachopenda au kitu nachopenda kula .... It doesnt need to be pricey...
Mwanamke wa hivyo namuweka kwenye group la pekee.. nitakua mrahisi zaidi kumpa anachojitaji pale anapohitaji kama ninacho..
Hata kama umezungukwa na maisha ya ufahari, kidogo chake kinakuwa na uthamani mkubwa kwako... kumbuka niliposema si suala la pesa ni suala la kujali na kumfanya mwenzako ajihisi vizuri...
Zawadi hata ya bei ndogo tu ina uthamani mkubwa , , maana unaona kabisa huyu mwanamke kwa maisha yake alikuwa ana uhitaji na hio pesa, lakini kajinyima kanipa hii zawadi , kuna feelings flani unaipata na huruma flani inakuingia...
Kuacha mwanamke alipie bill si suala la ubahili au kukataa majukumu au dharau, bali inadhihirisha tabia yake, upendo wake kwako, kujali kwake na hata hisia zake juu yako...
Mwanamke wa namna hio kumpa gari kama una uwezo mbona sawa tu.. kumfungulia biashara,kumpa zawadi za thamani...
Kulia lazima sababu umpendaye hutomuona tena ila kuna kulia kupitiliza makamasi na kuzimia.Heeeee kwahiyo unalia sio kwa sababu mume kafariki, ila unalia sababu uhakika wa uchumi mzuri unakua huna, aiseee😮😮 ephen_
Mwanaume ni provider period, mtazungusha sana kiswahili ila kama unataka mgawane majukumu ya bills na mkeo basi hiyo nyumba haitakua na heshima wala utii, siwezi kulipa ada za watoto au kodi kama tumepanga halafu nikupigie goti wakati nakutengea chakula hahahaHoja yako umeifanyia rejea kwa feminism au patriarchy?. Katika patriarchy ulichokiongea ni sawa, lakini kumbuka katika patriarchy hiyo hiyo mwanamke anabaki nyumbani.na hana access ya kuwa na kipato.
Unapotaka na wewe kwenda kutafuta automatically unaondolewa ile privilege ya kupata provision kutoka kwa mwanaume.
Wanaume tupo straight. Baki home uhudumiwe, tutoke wote tukafute uchangie bill. Kinacholeta mkanganyiko ni wanawake kuamisha goli kwa kuangalia masilahi yapo upande upi.
Pale ambapo usawa wa kijinsia unawanufaisha mnapingana na mfumo dume mfano kwenye ajira. Pale ambapo mfumo dume unawanufaisha mnapingana na usawa wa kijinsia mfano kwenye suala la kulipa bill.
Eeeeh, ila kama kuhudumiwa kihivyo ni raha sana mbona wengi wenu mnalalamika kwenye confession page za insta, " ooh mume anahudumia, hana changamoto ya kitabia ila ana sura mbaya, hadi naona aibu kuongozana nae, niki-sex nae kama ananibaka"- Dr. Mariposa ephen_ Seran nakadorii Mahondaw ShesRise_1 leo dadaRaha sanaaaaaa, "babe nina shida ya laki tano" "sawa mumy kadraw milioni moja nakujua wewe baadae utaomba tena laki 2"
Woyoooooo, kuna msisimko fulani unapita kuanzia utosini hadi unyayoni😂
Watajifanya hawaelewi min -meephen_ kwenye ndoa au ile ya kuishi pamoja , huyo ni life partner wako, mnafanya mambo kwa pamoja , mnajenga familia kwa pamoja na pesa zenu ni mali ya familia , hakuna mwenye pesa zake binafsi , yeyote atakae dokoa pesa kaibia familia, hakuna kuhongana humo, kwa sababu vyote ni vyenu, ukiona kwenye ndoa mnahongana wewe jua tu nyie ni wahalifu na majambazi mlio amua kuishi pamoja , mnaviziana tu .
(Nje ya mada) Huyo kaka yako nimsifu, anaonekana yuko vizuri kiuchumi ephen_Comments za mtibeli zimenifanya nisimulie kisa cha kaka yangu.
Yeye na mkewe walifunga ndoa 2015, hawana mtoto, mkewe hajawahi kufanya kazi yoyote.
Ashamfungulia mkewe saloon, min market, duka lakini vyote vilikufa chanzo mkewe hataki kwenda kuvisimamia! Yeye anataka kukaa tu wafanyakazi wamletee hesabu nyumbani.
Anajuta kumuoa ila hawezi kumuacha kisa nyumba yao aliandika jina la mkewe.
Sasa hivi nyumbani kwao wana housegirls wawili kumbuka hawana mtoto na mke yupo tu nyumbani.
Kinqchomsikitisha amegundua kua mkewe kamjengea mama yake nyumba ya kisasa kijijini kwao.
Anajiuliza mkewe hela kapata wapi?
Nilimwambia bila kumficha kua nyumba imejengwa kwa pesa zake kaka yangu😂