Mambo ya 50/50 binafsi mnitoe siyatakiiii

Mambo ya 50/50 binafsi mnitoe siyatakiiii

Hapo hakuna cha jando, huo ni ukatili , uchoyo na ubinafsi , na hakuna mapenzi ya kweli hapo, issue si kutoa, issue ni wewe kumtazama mwenzako akitoa hadi senti yake ya mwisho, na unaingiza kipato kumzidi huku umekumbatia pesa zako..

Mwanamke wa namna hio hapana..
Umeandika kwa uchungu sana hii, swali ni kwanini uangalie kipato cha mwanamke wako na sio kuangalia cha kwako na jinsi ha kukigawa ili muishi? kulingana na hicho kipato chako? Huoni kama haupo fair na huo ni ukatili dhidi ya kiumbe Mwanamke?
 
Lakini unajua mpaka mitaala ya Cambridge loh! Ulijua kukariri majina sio😁
nimezisikia tu kwa watu wakati nikiwa makutano ya chole na toure, nikiwa nakula viazi.

Mimi ni less than or equal to 'One dola bill' kinda life.
Najifunza hizi shule ili nichangishe ukoo, wajukuu zangu wapite humo 🤓
 
nimezisikia tu kwa watu wakati nikiwa makutano ya chole na toure, nikiwa nakula viazi.
Mimi ni less or equal to 'One dola bill' kinda life.
Najifunza hizi shule ili nichangishe ukoo ili wajukuu zangu wapite humo 🤓
Chole na toure ni nini? Hongera sana maana sijawahi hata kuwaza kupeleka mtoto shule ambayo chekechea tu wanalipa 30m! Nikutakie kila la kheri😁 naishi jirani na braeburn napapitaga kama mshumaa wa pasaka😂
 
Chole na toure ni nini?
mitaa hiyo, karib na coco.
Hongera sana maana sijawahi hata kuwaza kupeleka mtoto shule ambayo chekechea tu wanalipa 30m! Nikutakie kila la kheri😁 naishi jirani na braeburn napapitaga kama mshumaa wa pasaka😂
Kumbe upo ushuani 🤓
Now I get it kwa nini ulidhani jamaa hawezi kucover your meals for 365 days.
 
Hapa sasa ndio hata sisi ma feminists wanaume huwa mnatuchunganya wanawake. Yani mnaona kuzifisadi pesa za mwanaume bila huruma au kuwa na mipango ya future naye ni sawa tu halafu hapo hapo tena bado mnaowaona wanaume wa aina hiyo ni maboya tu!😁, kwa namna hii hatutafika.
Uzuri wa wanawake ukijifanya kuwatetea lazima wataku-prove wrong. Endelea kuwatetea mkuu.
 
Suala la kuendesha familia kama mke na mume huwa nafikiri liko straight sana wala halihitaji mijadala mingi lakini huwa nashangaa linaibua mijadala mingi sana mikali na ya kushangaza kwenye roles na uwajibikaji.
Mada imekuja baada ya ongezeko la Marioos kuzidi, wanaume wamekua wanapenda sana kupewa, wamekua wanaomba sana, na kumkumbusha mwanamke kua kazi yake sio 'KUHUDUMIA' familia kiuchumi, hilo ni jukumu la mume, kazi ya mwanamke ni 'KULEA' familia na kuleta amani na utulivu kwenye familia na sio zaidi ya hapo
 
mara nyingi, wengi wenye pesa na discipline ni wale ambao fwezaa walizikuta kwa family na wamezizoea.

Mie siwezi kuwaahidi kwamba nikizipata nitatulia 🤓 Will keep the volume so high, so loud.
You know what I mean. YOLO!
Nilivyopata tabu kukesha na vitabu vya Frank Wood chuoni halafu nipate hela niwe humble, si ujinga huo. Mfukoni kikiingia kimilioni ambacho akipo ndani ya bajeti lazima mji mzima ujue
 
Back
Top Bottom