Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 33,846
- 97,216
50/50 ni nini sasa kama sio league🫢Kumbe Kuna mashindano
50/50 ni nini sasa kama sio league🫢Kumbe Kuna mashindano
Wewe uko timu gani hapo 50 au uanamke wako50/50 ni nini sasa kama sio league🫢
9/10🌚Wewe uko timu gani hapo 50 au uanamke wako
Hongera nimekupata9/10🌚
😜Eeeeh, ila kama kuhudumiwa kihivyo ni raha sana mbona wengi wenu mnalalamika kwenye confession page za insta, " ooh mume anahudumia, hana changamoto ya kitabia ila ana sura mbaya, hadi naona aibu kuongozana nae, niki-sex nae kama ananibaka"- Dr. Mariposa ephen_ Seran nakadorii Mahondaw ShesRise_1 leo dada