Mambo ya 50/50 binafsi mnitoe siyatakiiii

Mambo ya 50/50 binafsi mnitoe siyatakiiii

Vijana wengi wanasingizia kataa ndoa ila ukweli ni kwamba hawana pesa za kuhudumia familia.

Mtu anapokea mshahara laki 7 (huu ndo ukweli bongo watu wengi mshahara laki 7) anaendesha gari bovu kila siku garage hela ya kuhudumia familia atatoa wapi?
Acha zako wewww mbona unachukulia wing badala ya umoja,unazan ndoa ni pesa tuu.
 
Kitonga? Thubutuuu!! 😹😹😹
Tena sisi ndio wabishi hata kutoa penzi. Mpaka tujisikie sisi sio wao kisa tu jogoo anawika..!!

Yaani kumiliki wanawake vigego ni ngumu tofauti na nyie mnaopenda kulipiwa bills mahi 😹😹😹

Nyie wanawajua wakiwaingizia pesa ya salon chop chop mnaloa. Unaanza “Baby i miss you” 😹
Nawapendaga ke, design Yako ni mwendo wa Kitaliban,mbona shegaa sana.
 
Back
Top Bottom