Dr. Mariposa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 5,848
- 19,518
- Thread starter
- #541
Anawachora tu hataki wenzie wamuibie, yeye aliolewa vipi na mume mwenye sura mbayaEeeeh, ila kama kuhudumiwa kihivyo ni raha sana mbona wengi wenu mnalalamika kwenye confession page za insta, " ooh mume anahudumia, hana changamoto ya kitabia ila ana sura mbaya, hadi naona aibu kuongozana nae, niki-sex nae kama ananibaka"- Dr. Mariposa ephen_ Seran nakadorii Mahondaw ShesRise_1 leo dada