Mambo ya 50/50 binafsi mnitoe siyatakiiii

Mambo ya 50/50 binafsi mnitoe siyatakiiii

Sikumuacha kisa bahili nilimuacha sababu ya tabia zake ambazo hazikunivutia ikiwemo mtu wa madeni na kuniomba nijaze mtungi wa gas kwa pocket money yangu mzazi alonitumia halafu huko chuo ningetumia nini?
Ungemchunguza vizuri pesa zake anapeleka wapi, labda alikuwa anafanya ujenzi wa nyumba yenu ya kuishi au anajipanga kununua gari msiteseke kwenye dalaladala na boda.
 
Ungemchunguza vizuri pesa zake anapeleka wapi, labda alikuwa anafanya ujenzi wa nyumba yenu ya kuishi au anajipanga kununua gari msiteseke kwenye dalaladala na boda.
Alikua ana madeni ikiwemo kazini.
Akanihadithia chanzo cha madeni ni mshahara wake hautoshi sababu analipa mkopo aliouchukua huko nyuma 35M

Nikamuuliza uliufanyia nini akaniambia aligawanya nusu kwa nusu na ex gf wake
Hela yake yeye akamlipia ada mdogo wake nyingine akanunua gari.

Binafsi niliona hanifahi! Kama anakopa pesa kwa ajili ya kumfurahisha mwanamke na kununua gari
 
Duh Siwezi kuishi na mtu ambaye sina huruma naye hata kudogo!

Mke ni "Mindset", ukikosa mwanamke anaekuhurumia na kukusaidia, basi unakuwa na bahati mbaya sana kwenye life. 😊
Hakuna kanuni ya kuishi watu wawili, ila kuna namna ya kuishi watu wawili. Mindset za wanawake hazifanani; Mindset za wanaume pia hazifanani.
Wanawake wana vitu vinashabihiana, ila hawapo sawa.
Wapo watu wametengeneza utajiri, kupitia hao hao wanawake, wapo watu wamekuwa masikini wa kutupwa kupitia hao hao wanawake. Yupo mwanamke anataka kuwezeshwa akupunguzie majukumu, yupo mwingine anawaza kukuibia. 😊
 
leo dada , wewe unasemaje?
Mbona wewe hutoi msimamo wako? 😊
Mpambano mkali....
Mwanaume asimamie katika majukumu yake yote kama baba.
Mwanamke atasaidia au kutoa panapostahili.

Shida yenu sasa hivi wote mnaviziana,,,, na shida kubwa zaidi ndoa zenu sio za kujenga familia.
Ndoa kuoa familia yenye uwezo ili upate connection sijui bi dada ana kazi nzuri ataniunga au ataendesha familia.
Hakuna hiyo kitu.

Dada aolewe na tajiri sijui loyal family au kijana kajipata tayari.......
Siku ya ndoa anapiga hesabu hapa miaka mitano ya ndoa tayari Nina ghorofa na biashara china.
Badilikeni kwanza wote
 
Kama nawaona broke guys wanavyokanyagana inbox kwako hahahaha, utapewa kila aina ya sifa ili mradi tu wapate kitonga
Kitonga? Thubutuuu!! 😹😹😹
Tena sisi ndio wabishi hata kutoa penzi. Mpaka tujisikie sisi sio wao kisa tu jogoo anawika..!!

Yaani kumiliki wanawake vigego ni ngumu tofauti na nyie mnaopenda kulipiwa bills mahi 😹😹😹

Nyie wanawajua wakiwaingizia pesa ya salon chop chop mnaloa. Unaanza “Baby i miss you” 😹
 
Mpambano mkali....
Mwanaume asimamie katika majukumu yake yote kama baba.
Mwanamke atasaidia au kutoa panapostahili.

Shida yenu sasa hivi wote mnaviziana,,,, na shida kubwa zaidi ndoa zenu sio za kujenga familia.
Ndoa kuoa familia yenye uwezo ili upate connection sijui bi dada ana kazi nzuri ataniunga au ataendesha familia.
Hakuna hiyo kitu.

Dada aolewe na tajiri sijui loyal family au kijana kajipata tayari.......
Siku ya ndoa anapiga hesabu hapa miaka mitano ya ndoa tayari Nina ghorofa na biashara china.
Badilikeni kwanza wote
Kila mtu aishi kwake 😅
 
Nani alipe nani kivipi kwani nimejioa? Hayo yote atayafanya yeye ayapange yapangike, mimi kazi yangu ni kupeleka list ya kila kinachohitajika kununuliwa, yes tutaishi kulingana na kipato CHAKE
Hata gari yako mafuta yanamuhusu aisee. Hao wa hivyo labda wale mataita wenye kibunda. Ambapo 1.5m haoni km ni pesa ya kumstua ubongo.
 
Remember to teach your sons to avoid expensive poor girls at all cost
🤣🤣🤣 Walivyo waajabu Sasa Mtoto wake wakiume akiwa na mwanamke halafu huyo mwanamke akawa ana mchuna huyo kijana Huwa wana kasirika sana ila wao kuwafanya hivyo watoto wa watu it's okay but wakifanyiwa watoto wao Tayari inaibuka vita

Wanawake ni viumbe wabinafsi Sana
 
Back
Top Bottom