ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 19,408
- 45,796
Aisee noma sana mambo ya sasampa
That's none of my business !Kuteseka!?..mi hayo mashimo nathomba,ukiniombaomba hela naachana nalo,nafata jingine,infact baada ya kujua ucenge wake,shimo moja baada ya kulikoroga nililitemea kohozi nikalikita kwelikweli kwa kisigino,sijui kama qisimi kina hisia tena
Nani kakuibia siri ya kambi?Binafsi hizo 50/50 zenu pelekeni hukoooooooo
Kwani lini ulinijibu au lini niliwahi kukuuliza swali la hivyo mpaka useme umechoka kunijibu?Nimechoka kukujibu
Sina la kuongezaKwani lini ulinijibu au lini niliwahi kukuuliza swali la hivyo mpaka useme umechoka kunijibu?
Kufugana sio kuzuri! Kila mtu atafute pesa mtimize majukumu ya familia kulingana na mlivyokubaliana lakini wewe mwanaume ukihitaji 50/50 hapo utaumia mwisho wa siku ndoa lazima ivunjikeSasa mimi sikuja kwa akina Esther kuwapa hela wazazi wake Ili niwasaidie kumfuga esther
None of your business now!😃😃 Baada ya kulikita shimo la mwenzio!?That's none of my business !
Yaani kuna ufundi mkubwa sana mwanaume inabidi uwe nao.Nikisemaga kumsomesha mtoto wa kike ni upotevu wa rasilimali naitwa misogynist. Kupewa elimu maana yake unajengewa uwezo wa kuyatafsiri mazingira na kuja na majibu ya changamoto zinazokuzunguka. Sasa mtoto wa kike apewe elimu halafu baada ya kuhitimu changamoto zake na mahitaji yake kifedha abebeshwe mwanaume. Kuna maana gani ya mtoto wa kike kupewa elimu from the first place
Mke mwemaUislamu weka pembeni sababu hapa unaongea na Ester na sio Maimuna
Sijawahi kuukana uanamke wangu ndio maana wanawake wooooote nawapenda na kuwapa raha wakitaka😄Naona sasa unakubali kuwa mwanamke kamili Dr Mariposa, karibu tukuhudumie!
Kipato cha mwanamke hakina mchango wowote kwenye familia,kupigia hesabu kipato chake kwenye maendeleo ya familia ni sawa na kukimbiza upepoKufugana sio kuzuri! Kila mtu atafute pesa mtimize majukumu ya familia kulingana na mlivyokubaliana lakini wewe mwanaume ukihitaji 50/50 hapo utaumia mwisho wa siku ndoa lazima ivunjike
Mimi kwanza tofauti na 50/50 sisupport mwanamke kutokufanya kazi ya kumuingizia kipato.Mke mwema
Mithali 31:16
“Hufikiri shamba, akanunua; kwa mapato ya mikono yake hupanda mizabibu.”
Mithali 31:27
“Huangalia sana njia za nyumba yake, wala hali chakula cha uvivu.”
Mithali 12:4
“Mke mwema ni taji kwa mumewe; bali aletaye aibu ni kama kuoza katika mifupa yake.”
Mithali 31:15
“Huinuka mapema akiwa bado usiku, hutoa chakula kwa watu wa nyumba yake…”
Mithali 31:27
“Huangalia sana njia za nyumba yake, wala hali chakula cha uvivu.”
Tukisema huko makanisani mnaenda kurungishiana mishono mipya mnatuita wapinga kristo
Sasa tumekubaliana!Kipato cha mwanamke hakina mchango wowote kwenye familia,kupigia hesabu kipato chake kwenye maendeleo ya familia ni sawa na kukimbiza upepo
Wanawake lazima wapate raha muda wote wote na mimi nipo kuwapa raha,Ila kwenye ''Kukoboa'' wanawake huangalii kua hiyo ni kazi ya Mwanaume pekee.
Mbona ID ya Culture me huitumii tena?
Kukubaliana nini!?..mimi nadissSasa tumekubaliana!
I miss you babeI second u chomie💃🏽
Mke akiwa mchakarikaji hamuwezi kulala njaa , kuna watu wapo ndoani ila wadanga kwa waume zao badala ya kukaa pamoja na kujenga familia bora , huko tuendako kutakua na kizazi cha hovyo sanaMimi kwanza tofauti na 50/50 sisupport mwanamke kutokufanya kazi ya kumuingizia kipato.
Mwanamke asipokua na pesa wanaokuja kuteseka ni watoto pale ambapo baba hayupo.
Mwanamke ukiwa na hela hata mume akifariki huwezi kulia hadi ukazimia sababu una uhakika wa milo 3 kwa watoto, ada ya shule na mengineyo!
Swalj zuri umemuuliza Raha ya mahusiano mwanaume yeye ndio aamue kukupa hela sio mwanamke kuombaomba ovyoKwa nini upewe hela?