Mambo ya 50/50 binafsi mnitoe siyatakiiii

Kuna kijana mwanajeshi nilikimbia bila kuangalia nyuma!
Nipo chuo enzi hizo alionyesha yupo serious anataka kunioa.

Story zake hizohizo! Nataka ukimaliza chuo uwe mfanyabiashara tusaidiane maisha nikawa namsikiliza tu.

Kilichonikimbiza! Hiyo siku nipo nae muamala ukaingia baba kanitumia pocket money.
Yule mwanaume kwanza nicheke!!🤣 Akaniambia toa basi hela nijaze mtungi wa gas halafu mtungi wake ni ule mkubwa.

Kudadeqqq! Nilijizungusha mwisho nikamwambia hii ni hela ya kumalizia ada.
Baada ya hapo mbona sikutaka mazoea nae tena!!
 
Kuhudumiwa ni kawaida tu , ila ndani ya ndoa na kwenye mahusiano kuna wauza mbususu , na hicho kipengele cha kudumiwa wanakifungia spika kelele mpaka mtaa wapili, ukiwa mjanja utamtambua anae stahili kuhudimiwa na anae uza mbususu šŸ¤”
Umevalia njuga hili swala tangu page ya 1 loh🫢 kweli hapa kuna tatizo aisee!
 
Kuna kijana mwanajeshi nilikimbia bila kuangalia nyuma!
Nipo chuo enzi hizo alionyesha yupo serious anataka kunioa.

Story zake hizohizo! Nataka ukimaliza chuo uwe mfanyabiashara tusaidiane maisha nikawa namsikiliza tu.

Kilichonikimbiza! Hiyo siku nipo nae muamala ukaingia baba kanitumia pocket money.
Yule mwanaume kwanza nicheke!!🤣 Akaniambia toa basi hela nijaze mtungi wa gas halafu mtungi wake ni ule mkubwa.

Kudadeqqq! Nilijizungusha mwisho nikamwambia hii ni hela ya kumalizia ada.
Baada ya hapo mbona sikutaka mazoea nae tena!!
Aisee! Hata guts tu za kukwambia hivi anatoa wapi? Wanaume sio watušŸ˜’
 
Kuna kijana mwanajeshi nilikimbia bila kuangalia nyuma!
Nipo chuo enzi hizo alionyesha yupo serious anataka kunioa.

Story zake hizohizo! Nataka ukimaliza chuo uwe mfanyabiashara tusaidiane maisha nikawa namsikiliza tu.

Kilichonikimbiza! Hiyo siku nipo nae muamala ukaingia baba kanitumia pocket money.
Yule mwanaume kwanza nicheke!!🤣 Akaniambia toa basi hela nijaze mtungi wa gas halafu mtungi wake ni ule mkubwa.

Kudadeqqq! Nilijizungusha mwisho nikamwambia hii ni hela ya kumalizia ada.
Baada ya hapo mbona sikutaka mazoea nae tena!!
Alikuwa anakupima ukafeli mtihani, sasa hivi ungekuwa wife wa Brigedia Jenerali unatumbua tu nyama pori swala fulani hivi za kuchoma mgao wa maafisa kutoka serikalini.
 
Badala ukaenda kulea ndoa uchwara
 
Wewe ndo unaileta kwenye bf na gf, mada na mimi tumejikita kwenye 50/50 ya watu wanaoishi pamoja au malengo ya pamoja.

Kwanza ni ajabu mwanaume kutaka 50/50 hata kama uliyenaye ana kipato kukuzidi kidume jitutumue uhudumie kila kitu ndani na mkeo umpe pocket money.
Kuna kosa la kiufundi lilifanyika kwa watangulizi wetu(Mababu). Ndo lishatokea kulirekebisha ni baada ya miaka mingi sana si sahizi.
 
Alikuwa anakupima ukafeli mtihani, sasa hivi ungekuwa wife wa Brigedia Jenerali unatumbua tu nyama pori swala fulani hivi za kuchoma mgao wa maafisa kutoka serikalini.
Aah wee! Hakua ananipima yule ni mtu wa vizinga niliona red flags nyingi tu siku hiyo nikahitimisha.

Ana daftari limejaa lists ya madeni anayodaiwa na watu bado alikua anacheza michezo ya upatu.
We huogopii?
 
Yeah hii sio mbaya , ila majambazi hata kipindi kigumu yanapotea yenyewe yanatafuta sehemu ambapo tayari kimeiva tu na sio kushiriki kukipika .
Mi na kenge ni tunapendana sana nisingeweza kumkimbia. Na hakufirisika aliingizwa mjini na wahuni.
Tulipiga shortcut tuuze kila kitu tulipe tuanze moja.
Note: wauzaji nao siku hizi hawajipangi tena barabarani wamejificha kwenye mahusiano na kwenye ndoa kwa kigezo cha kuhudumiwa.
Hili tatizo ni la wote,,, mpaka mtakapoanza kuishi kwa ukweli
 
Aah wee! Hakua ananipima yule ni mtu wa vizinga niliona red flags nyingi tu siku hiyo nikahitimisha.

Ana daftari limejaa lists ya madeni anayodaiwa na watu bado alikua anacheza michezo ya upatu.
We huogopii?
Huwa mnakwepa sana wabahili , ila unaweza kukuta sasa hivi yupo vizuri labda abadilike tu , ukitoa pesa kizembe jua ndio imeenda hivyo , haiwezi kurudi tena kwako
 
Mi na kenge ni tunapendana sana nisingeweza kumkimbia. Na hakufirisika aliingizwa mjini na wahuni.
Tulipiga shortcut tuuze kila kitu tulipe tuanze moja.

Hili tatizo ni la wote,,, mpaka mtakapoanza kuishi kwa ukweli
Kuna code muhimu sana unaificha unaona utasaliti chamašŸ˜… majambazi yapo huo ndio ukweli wa wazi kabisa
 
Huwa mnakwepa sana wabahili , ila unaweza kukuta sasa hivi yupo vizuri labda abadilike tu , ukitoa pesa kizembe jua ndio imeenda hivyo , haiwezi kurudi tena kwako
Sikumuacha kisa bahili nilimuacha sababu ya tabia zake ambazo hazikunivutia ikiwemo mtu wa madeni na kuniomba nijaze mtungi wa gas kwa pocket money yangu mzazi alonitumia halafu huko chuo ningetumia nini?
 
Back
Top Bottom