Dr. Mariposa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 5,721
- 18,958
- Thread starter
- #121
Thank you old school girl mwenzangu🥂
Thank you old school girl mwenzangu🥂
Hao ndo siku ya msiba wanalia hadi makamasi kila muda wanazimia sababu anawaza kesho watoto watakula nini.Mke akiwa mchakarikaji hamuwezi kulala njaa , kuna watu wapo ndoani ila wadanga kwa waume zao badala ya kukaa pamoja na kujenga familia bora , huko tuendako kutakua na kizazi cha hovyo sana
Missing u so much mama’ke 🥰I miss you babe
Hii mbona Kama haina come backZaidi ya Hilo shimo ambalo unampa kila mwenye pesa aliombae
Wanaomba kinoma,hadi wanalalamika, yaani wanaona ni haki yaoSwalj zuri umemuuliza Raha ya mahusiano mwanaume yeye ndio aamue kukupa hela sio mwanamke kuombaomba ovyo
Huwezi kua na la kuongeza wakati hata la mwanzo hukua nalo,Sina la kuongeza
Hawana wanachotoa wacenge haoHii mbona Kama haina come back
Haya maisha haya , mtu unapaswa uwe makini sanaHao ndo siku ya msiba wanalia hadi makamasi kila muda wanazimia sababu anawaza kesho watoto watakula nini.
Raha sanaaaaaa, "babe nina shida ya laki tano" "sawa mumy kadraw milioni moja nakujua wewe baadae utaomba tena laki 2"Hela ya kupewa na babe ina raha yake tena usiombe uombe hela halafu akupe double yake.
Wanaume waheshimiwe
Tatizo hawaelewi hawaa! Hela ya kupewa ina raha hata kama ndani unazo!Raha sanaaaaaa, "babe nina shida ya laki tano" "sawa mumy kadraw milioni moja nakujua wewe baadae utaomba tena laki 2"
Woyoooooo, kuna msisimko fulani unapita kuanzia utosini hadi unyayoni😂
hayo ni makubaliano binafsi kati ya Wanandoa, ila haibadili suala la wewe mwanaume kubeba jukumu la matumizi kwa familia yakoUnasema mambo ya 50/50 huyataki,why unafanya kazi? Si ungetulia tu nyumbani ulelewe,udekezwe,ufanye kazi za nyumbani,uzae,ulee watoto?
Umenilisha maneno wapi nimeandika kupiga vizinga?Lakini mleta mada hajalenga maisha ya ndoa zaidi bali amelenga kupiga vizinga,
kwenye ndoa naunga mkono hoja.
Hakuna sababu za kumfanya mwanamke asiye na mchango wa maana kwenye familia ajisikie ana mchango wa maana. Kama anaingiza kipato cha maana mchango wake utaonekana automatically kama hapeleki pesa zote kwa familia yake, ndugu zake au vibenten. Kama ni mama nyumbani tu au kazi zake ni za hapo nyumbani tu labda duka la mtaani au fundi cherehani mchango wake wa maana zaidi lazima kuonekana katika kulea watoto na kuhakikisha nyumba iko sawa muda wote.Yaani kuna ufundi mkubwa sana mwanaume inabidi uwe nao.
Unapswa uwe mhudumiaji mkuu lakini pia unapaswa umfanye mwanamke ajisikie kwamba naye ana mchango mkubwa.
Unakuwa kama CCM inavyokabili wapinzani; unang'ata na kupuliza. Oya mapenzi siasa....
Kufugana sio kuzuri! Kila mtu atafute pesa mtimize majukumu ya familia kulingana na mlivyokubaliana lakini wewe mwanaume ukihitaji 50/50 hapo utaumia mwisho wa siku ndoa lazima ivunjike
Copy that Roger, viva arsenal 🔥Remember to teach your sons to avoid expensive poor girls at all cost
Hakuna sababu za kumfanya mwanamke asiye na mchango wa maana kwenye familia ajisikie ana mchango wa maana. Kama anaingiza kipato cha maana mchango wake utaonekana automatically kama hapeleki pesa zote kwa familia yake, ndugu zake au vibenten. Kama ni mama nyumbani tu au kazi zake ni za hapo nyumbani tu labda duka la mtaani au fundi cherehani mchango wake wa maana zaidi lazima kuonekana katika kulea watoto na kuhakikisha nyumba iko sawa muda wote.
Umeanza hiyo michezo eheeMissing u so much mama’ke 🥰