Mambo mazito CCM Dodoma: Wajivua gamba?

Mambo mazito CCM Dodoma: Wajivua gamba?

Kama kweli Wilson Mukama ndio mrithi wa Makamba kama katibu mkuu wa ccm , Mzee Kingunge Ngombale Mwilu bado ana influence kubwa sana katika kuiendesha ccm na serikali yake!!
 
Watu wamekaa tangu jana wanamuangalia kinyonga anavyojaribu kubadilika rangi, wanaombea kuwa atageuka kuwa kambale!!.. Tuna moyo.

Khe khe kheeeeeeeeeeeeeeee kweli kabisi hii mijizi iliyokubuhu inahaha tu sasa inatafuta njia ya kutokea lakini ni yenyewe ndiyo imeoza khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeee
 
Mie sioni na sijui kwanini EL aliekubali kujiuzulu bado mna mfuata fuata, kuna mijizi mingi bado imo humo ndani wala hamuwasemi!!!
Edward Lowassa ni BORA mara millioni Trillioni zaidi ya wengi waliomo CCM, mtabisha lakini ukweli mnaujua na upo wazi.

EL was getting things DONE.... Mnataka kuwa na viongozi legelege wanaolalamika kama sisi wananchi tulio vijijini?
Mnataka viongozi wasio na MENO?, EL tayari ana hela kaiba au hakuiba haijalishi...ataingia kuchapa kazi ndo alichobakisha.

Jaribuni ku focus kwenye real issues zilizopo na sio kumwandama asiyekuwepo hata kwenye system!

Huyu ni kama wa uzao wa Lowasa (blood linked).
Ni kwa namna anavyozungumza, angalia uchaguzi wa maneno na msisitizo wa maneno.
Not a joke!!
 
Utabiri wangu hatimaye unakaribia kukamilika. Nilieleza bayana kwamba mwenendo wa Bw. Mukama ulinifanya nihisi kuwa anaandaliwa kuwa General Secretary wa CCM. Ukweli ni kwamba huyu bwana ni msomi na analytical. Binafsi namwona ana matatizo makubwa mawili. Kwanza ni king'ang'anizi. Akiamua yeye anataka kitekelezwe bila kujali mawazo kinzani ya wenzie. Ana maamuzi ya kiimla. Pili, bado hajatambua role kubwa ya vijana katika kuendesha chama. Ni mwenye mtazamo kwamba wazee ndiyo wanaopaswa kushika usukani na vijana wanakaa pembeni huku wakijifunza kwa wazee. Haamini mtazamo kinzania ambo ni vijana ndiyo wanaopaswa kushika usukani na wazee pembeni huku wakitoa ushauri unaotokana na uzoefu wao.
 
Watu wamekaa tangu jana wanamuangalia kinyonga anavyojaribu kubadilika rangi, wanaombea kuwa atageuka kuwa kambale!!.. Tuna moyo.

Kesha geuka kambale, subiria nyimbo za sifa na mapambio, matangazo ya pongezi magazetini na maandamano ya kupongeza!.
 
Ngoja tuone hizi sarakasi zitaishia wapi??

Hizi sarakasi hawawezi kuzimaliza hadi waondolewe madarakani. Watanzania wanataka matatizo ya umeme yaishe, mfumuko wa bei etc. Dowans pamoja na makuwadi wao ie (RA, EL, Chenge et al) Mafisadi washitakiwe kwa kulihujumu taifa lakini hayo hayawezekani katika uongozi wa m k w e r e .
 
Watu wamekaa tangu jana wanamuangalia kinyonga anavyojaribu kubadilika rangi, wanaombea kuwa atageuka kuwa kambale!!.. Tuna moyo.

Naam Mkuu ni USANII MTUPU! Ufisadi ndani ya CCM bado kama kawa! tena kwa miaka mingi ijayo na makundi tele tu hakuna mshikamano kabisa!
 
..mwisho CCM watagundua kuwa tatizo ni JK na siyo watendaji wa CCM.

..hivi mnategemea uteuzi huu utapunguza makali ya maisha ya Mtanzania wa kawaida?

Off the point kabisa. Brother tunazungumzia mabadiliko katika sekretarieti ya CCM
 
..Kinana ni mtu wa karibu sana na Edward Lowassa.

..haya mabadiliko ni kama yamefanywa na Lowassa kwa kutumia remote control.

maneno mazito sana hayo hapo juu.......asante Mkuu
 
Utabiri wangu hatimaye unakaribia kukamilika. Nilieleza bayana kwamba mwenendo wa Bw. Mukama ulinifanya nihisi kuwa anaandaliwa kuwa General Secretary wa CCM. Ukweli ni kwamba huyu bwana ni msomi na analytical. Binafsi namwona ana matatizo makubwa mawili. Kwanza ni king'ang'anizi. Akiamua yeye anataka kitekelezwe bila kujali mawazo kinzani ya wenzie. Ana maamuzi ya kiimla. Pili, bado hajatambua role kubwa ya vijana katika kuendesha chama. Ni mwenye mtazamo kwamba wazee ndiyo wanaopaswa kushika usukani na vijana wanakaa pembeni huku wakijifunza kwa wazee. Haamini mtazamo kinzania ambo ni vijana ndiyo wanaopaswa kushika usukani na wazee pembeni huku wakitoa ushauri unaotokana na uzoefu wao.
Kama usemavyo wewe mwenyewe kuwa Mukama ni analytical, then if that is the case hawezi kuushabikia ujana for ujana's sake !! Age is just a number what matters ni kama muhusika kijana au mzee ana uwezo wa kuyakabili kiufanisi majukumu aliyopewa. Hata bumngeni kuna watu wa makamo ambao mchango wao hao wabunge vijana hawaufikii hata robo yake!!
 
Habebwi na mtu, huombwa na kuangukiwa, ni mchapa kazi sana, na kichwa, wacha. Waulize wanaomjuwa. Si mwanamke wa kawaida.
Zakhia Megji Ni mkwe wa Kilaza Wetu, Sio Mchapa kazi labda huo uchapakazi kazi alikuwa anamfanyia Mzee Ruksa akilala
 
Yah alikuwa katibu mkuu wizara wa afya pia city council alikuwamo
 
Katika kile kilichoitwa kujivua gamba imekua ngumu Nnape ataweza na je meghji atatunza pesa kina sio muadilifu hata kidogo je ni gamba gani hilo la kuvuliwa
 
Tafadhali kama una majina ya sekretariati ya ccm baada ya akina makamba kujiuzulu naomba tujuze!!
 
baada ya kutoka wizara ya afya,alihamishiwa wizara ya maji,kwa position ileile ya ukatibu mkuu,.na ndipo alipostaafia!
 
zakia meghji tena, CCM itaendelea kudidimia, au ni kweli JK anamke mdogo ambaye ni mtoto wa Zakia maana siamini kabisa kama Zakia karudi kundini wakati ni fisadi wa EPA, pia yuko kundi hali la mafisadi papa ie Rostam
Jamani wabondeni kina makinda na sofia simba labda naweza kuwaelewa,lakini Zakhia meghji ni mwanamama wa shoka na very smart!
 
Back
Top Bottom