Edson
JF-Expert Member
- Mar 7, 2009
- 9,986
- 5,708
yaani timu hii ndo uozo mtupu....
ndio maana mimi nasema hili gamba halijavuliwa ila limeongezwa lingine kwa juu..............joka limekuwa kubwa kweli
yaani timu hii ndo uozo mtupu....
yaani timu hii ndo uozo mtupu....
Mukama katulia sana alikuwa utendaji wake si wa kubwabwaja ni msomi anapenda kujibu hoja alikuwa JIJI THEN katibu mkuu afya then katibu mkuu maji mpaka akastaafu.akateuliwa na rais kuwa mkurugenzi wa bodi habari.na amehusika sana kutunga ilani ya ccm 2010-2015 hivyo watu wenye bongo zao wanarudi chamani pia ni mtu wa system.
Habebwi na mtu, huombwa na kuangukiwa, ni mchapa kazi sana, na kichwa, wacha. Waulize wanaomjuwa. Si mwanamke wa kawaida.
Habebwi na mtu, huombwa na kuangukiwa, ni mchapa kazi sana, na kichwa, wacha. Waulize wanaomjuwa. Si mwanamke wa kawaida.
Tunasikitika kumpoteza mpambanaji mmoja wa upinzani lakini kazi tuliyomtuma kaimaliza.Kama nawaona CHADEMA wanavyoshangilia.
Tunasikitika kumpoteza mpambanaji mmoja wa upinzani lakini kazi tuliyomtuma kaimaliza.
Mukama katulia sana alikuwa utendaji wake si wa kubwabwaja ni msomi anapenda kujibu hoja alikuwa JIJI THEN katibu mkuu afya then katibu mkuu maji mpaka akastaafu.akateuliwa na rais kuwa mkurugenzi wa bodi habari.na amehusika sana kutunga ilani ya ccm 2010-2015 hivyo watu wenye bongo zao wanarudi chamani pia ni mtu wa system.
Al Shabab ndani ya nyumba sasa wasomali wameingia rasmi kwenye chama.haramia kawekwa ndani.....hahahah kinana!!!!!
Aha ha ha haah!! Atakuwa ni Makamba?Tunasikitika kumpoteza mpambanaji mmoja wa upinzani lakini kazi tuliyomtuma kaimaliza.
Hivi huyo Meghji anapendewa nini? mbona anabebwa sana?
Labda kati ya wote huyu ndio anaonekana afadhali katika chama!system ipi?au system ya maji taka???hana jipya ni wa kawaida mnooooo
Aha ha ha haah!! Atakuwa ni Makamba?
Kama si wa kawaida ina maana yeye jini.Habebwi na mtu, huombwa na kuangukiwa, ni mchapa kazi sana, na kichwa, wacha. Waulize wanaomjuwa. Si mwanamke wa kawaida.
Sijaelewa mkuu kivipi MCHAPA kazi Kufa, halafu Huombwa na Kuangukiwa, tena Na kichwa? una maana ni mchapakazi na kichwa chini au? CHIKCKEN HEADS unamaana? fafanua mkuu