Nimeona eee zitto kaaaazi kumuamini anawezana na jk tuUmeona eee watu wamechangia sana kwenye thread ya Kongamano la CDM Udom jamaa hata hakuona umhimu wa kuchangia wakati ni kongamano la viongozi wake wakuu sasa hili la ukatibu wa CCM ndio kaona lina muhimu zaidi.
Kinana kawa deputy Tz bara, Nape kapelekwa itikadi na Zakhia Meghji kaenda fedha wakati Rehema Nchimbi akienda Organisation
Hakuna kitu hapa, Mukama fisadi tu kama wengine. Alifipokuwa Jiji alifisadi sana. akumbuke alivyofanya wakati wa kununua magari ya zima moto ya jiji.Mukama katulia sana alikuwa utendaji wake si wa kubwabwaja ni msomi anapenda kujibu hoja alikuwa JIJI THEN katibu mkuu afya then katibu mkuu maji mpaka akastaafu.akateuliwa na rais kuwa mkurugenzi wa bodi habari.na amehusika sana kutunga ilani ya ccm 2010-2015 hivyo watu wenye bongo zao wanarudi chamani pia ni mtu wa system.
Most probably is not big news to you because you have no idea how this CCM NEC have costed our nations. The instability of our economy and you so called TRA, PTA etc. are caused by corrupt CCM NEC. And you know why? they hid in there in order to take advantage of the system and play their malicious games.
Mkuu Kichuguu umenena. hapo kwenye red umemaliza. Ndivyo ninavyomfahamu Mukama ni fisadi tu.Nina bahati ya kumfahamu Mukama binafsi wakati wakiwa Mkuregenzi wa jiji. Ni mtu mzuri sana na tena ana akili sana, ila linapokuja swala la kutafuta pesa kwa njia yoyote hata ya kifisadi, ndugu huyu huwa habaki nyuma hata siku moja. Inawezekana kwa vile ni mtu mwenye akili sana akatambua kuwa vita dhidi ya ufisadi ndiyo iliyomueweka pale, na hivyo akashidana na vishawishi vya ufisadi. Vinginevyo inawezekana CCM imeondoa a Rock na kuweka a Hard Place.
Alifanya kazi chini ya huyo muheshimiwa kwenye picha(kulia).Hawakukosea waliposema simba mwenda kimya(pole) ndio mla nyama.Mukama katulia sana alikuwa utendaji wake si wa kubwabwaja ni msomi anapenda kujibu hoja alikuwa JIJI THEN katibu mkuu afya then katibu mkuu maji mpaka akastaafu.akateuliwa na rais kuwa mkurugenzi wa bodi habari.na amehusika sana kutunga ilani ya ccm 2010-2015 hivyo watu wenye bongo zao wanarudi chamani pia ni mtu wa system.
nape anafadhiliwa na mengi au huoni kwamba mengi naye ni fisadi? katika vijana ni vita kati ya lowassa na mengi.Kuchaguliwa kwa Nape liwe Fundisho kwa vijana wenzake wanaotumiwa na mafisadi kama yule msomari. Simamia ukweli na ukweli utakuponya. Wao walibenk kwa LA. kiko wapi. Nape alijitahidi kujiepusha na mafisadi mwisho wa siku analia kivulini. Vijana wadogo kama msomari kuanza kuwa groomed kuwa mafisadi inasikitisha. Anyway for the sake of our country hii timu mpya iangamize mafisadi wote vijana na wazee! I am for change regardless inaletwa na Chadema au CCM. Hatuhitaji tu sura mpya ila tunataka mtusafishie hii nchi jamani.
, ikifikia 2015 90% ya vijana wakiwa na ajira nzuri kabisa basi hawana haja hata ya kuiba pesa za umma kwa ajili kampeni au kuandaa mbinu za chakachua bali ni kusubiri kuchaguliwa tu. Anything short of that will not work.
..Kinana ni mtu wa karibu sana na Edward Lowassa.
..haya mabadiliko ni kama yamefanywa na Lowassa kwa kutumia remote control.
Msomali Kinana ndani, wasomali watazidi kuingia kwa siri nchini, na genge la mafia wa kisomali walioko TZ wataongezeka