Mambo mazito CCM Dodoma: Wajivua gamba?

Mambo mazito CCM Dodoma: Wajivua gamba?

Ingeonekana ina manufaa zaidi kwa nchi kama sio chama hata Mwenyekiti wa Chama angejiuzulu. Haiingii akilini kubadilisha utingo na dereva msaidizi wakati dereva mwenyewe anaendesha gari hajui kushika uskani sawasawa.
Kwa maana nyingine, nawasikitikia wanaCCM kwani wamepigwa Changa la macho na wala JK hajategwa bali amewapumbaza wanachama wake.
BORA ANG'ATUKE AACHIE WENGINE WASHIKE USKANI. Hata baba wa Taifa baada ya kuona mambo yanamwendea kombo alisema "NANG"ATUKA"
 
Very wrong choice - Zakhia Meghji, damn,
Alijiuzulu miaka 3 in connection with Ufisadi,
CCM wamemweka tena ktk hazina ya chama!!!?
System will reject her few days ahead, hafai, period
 
at list wamejaribu....... tusubiri tuone wapeni nafasi
 
Una uhakika gani kama Zakia sio muadilifu, kuna ushahidi wo wote? Usilete ya Kagoda maana she was not involved.

She was! Alijibu ile query ya maodita wa nje wa awali Doillete (kama sijakosea jina) kwamba mchoto ule wa kagoda ulikuwa ni kwa ajili ya shughuli nyeti za kiserikali, kitu ambacho siyo kweli. baadaye alibadilisha na kughushi barua (yeye na Katibu Mkuu wake Gray mgonja) kwamba Mgonja alimpa habari siyo sahihi. Ilibidi JK amteme mama huyo!

Una nyimbo nyingine?
 
Habebwi na mtu, huombwa na kuangukiwa, ni mchapa kazi sana, na kichwa, wacha. Waulize wanaomjuwa. Si mwanamke wa kawaida.

Wanaomjua kina nani hao? waliomchagua? tujulishwe basi angaliu na sisi tusiomjua ili tuweze kujipimia wenyewe, na ni mchapa kazi kwa nani maana kama pia atakuwa bize kuwachapia kazi waliomchagua ......!!! hivi yuko wapi siku hizi, hasikiki ati!!
 
Una uhakika gani kama Zakia sio muadilifu, kuna ushahidi wo wote? Usilete ya Kagoda maana she was not involved.

Sasa kama umeshapitisha hukumu kuwa hakuhusika na hana hatia yoyote,huo ushahidi na uhakika dhidi yake wa nini tena?
 
kujivuwa gamba haina tija muhimu haomafisadi niuhakika wameereweka nahuoniushaiditosha hadi chama kimekiri ndokirichowafanya wachukuweuamuzi kuwarazimishakujiuzuru(kuvujwa) kweri jk kamaanazamira yakweri kamasiunafiki asiishie hapo waperekwe mahakamani warudishe mari walizoporataifa letu kwasasa sioni chakunishawishi kurudisha imani uchakachuwaji mtupu
 
lets wait and see ,

prejudice is evil as well , hureee mukama , huree ccm , down slaaaa


long live mukama
 
Very wrong choice - Zakhia Meghji, damn,
Alijiuzulu miaka 3 in connection with Ufisadi,
CCM wamemweka tena ktk hazina ya chama!!!?
System will reject her few days ahead, hafai, period

Huyo ndio mbaya wenu nyie mafisadi....na hilo mnalijua
1) Alisema kweupeee kuwa Balali alidanganya
2) Amesema kweupee bosi wenu RA ndiye fisadi pamoja na magazeti yake na waandishi wake
3) Mr President, usidanganye, sio kweli kwamba Zakia alijiuzulu...tutake radhi kwenye jamvi kwa kujaribu kupindisha ukweli ( Senior member)
 
GAMBA HALIJAVUKA GAMBA SASA LINAKOMAA

GAMBA BADO LINATANUKA GAMBA LITASINYAAA


GAMBA LITAOZA GAMBA LITAKUFA GAMBA LINAZIKWa:A S 2152::A S 2152::A S 2152::A S 2152:
 
Ninavyomfahamu kwa uchache Mukama ni Political Scientist. Amewahi kuwa tutor chuo cha Kivukoni, Mkurugenzi wa Jiji la DSM, Naibu Katibu Mkuu Tamisemi, Katibu Mkuu Afya, Katibu Mkuu-Maji na baada ya kustaafu aliteuliwa na Rais kuwa Mwenyekiti wa Bodi wa TSN. Pia ni Strategist wa CCM.

Duh hapo kwenye RED kama ni kweli alikuwa strategist wao, kweli CCM itakuwa ni sikio la kufa tu....
 
Back
Top Bottom