Mambo mazito CCM Dodoma: Wajivua gamba?

Mambo mazito CCM Dodoma: Wajivua gamba?

Acha Makamba akapumnzike sasa, tulichoka kila siku kusika kelele.
 
huyu mkama wa wapi huyu.........naomba cv yake please
 
Yah! Ni maagizo ya watu fulani yamefanya kazi! Maana ilisemekana ni udini mtupu ulikuwa CCM
 
yaani njia nyeupeeeeeeeeeeeeeeeeeeee kwa EL kuwa mgombea 2015...yaani kinana ndani,megji ndani...duuuh
 
Nape watakukoma sasa waliokubania kura za maoni hasa mtendaji wa sinza..hahaaaaaa
 
haramia kawekwa ndani.....hahahah kinana!!!!!
 
Wilson Mkama ni Mwenyekiti wa Bodi ya Tanzania Standard Newspapers Ltd (DailyNews na HabariLEO). Tegemeeni CCM kufa zaidi, pia ikifagiliwa zaidi kwenye Magazeti ya Serikali
 
halafu mbona naona gamba la nyoka halijavuliwa ..........au wadau mnasemaje
 
zakia meghji tena, CCM itaendelea kudidimia, au ni kweli JK anamke mdogo ambaye ni mtoto wa Zakia maana siamini kabisa kama Zakia karudi kundini wakati ni fisadi wa EPA, pia yuko kundi hali la mafisadi papa ie Rostam
 
i thought they will bring a new blood for bloody change ..... business as usual
 
..mwisho CCM watagundua kuwa tatizo ni JK na siyo watendaji wa CCM.

..hivi mnategemea uteuzi huu utapunguza makali ya maisha ya Mtanzania wa kawaida?
 
Mukama katulia sana alikuwa utendaji wake si wa kubwabwaja ni msomi anapenda kujibu hoja alikuwa JIJI THEN katibu mkuu afya then katibu mkuu maji mpaka akastaafu.akateuliwa na rais kuwa mkurugenzi wa bodi habari.na amehusika sana kutunga ilani ya ccm 2010-2015 hivyo watu wenye bongo zao wanarudi chamani pia ni mtu wa system.
 
I have a feeling that, the JK-ZM connection is deeper than we all know.

He seems to refuse to leave this woman alone.

Or may be they have a sort of treaty that requires JK to ensure that the services of dear old ZM

are always in use. Be it within the ruling Party or Government.
 
Back
Top Bottom