Mambo mazito CCM Dodoma: Wajivua gamba?

Mambo mazito CCM Dodoma: Wajivua gamba?

maneno mazito sana hayo hapo juu.......asante Mkuu

Ogah don't take things blindly japo dirty white inafanana sana na white its infact not white. Try to connect dots and try to see why I say this!
 
Sasa hizi cosmetic changes unafikiri zitasaidia vipi kuondoa msururu wa meli zilizojazana kule Oyster bay beach?

CC kubadilishwa kutasaidia vipi kuondoa longo longo la TRA na unfair taxation ?

CCM kuchagua mwenyekiti mpaya kutasaidia vipi wanafunzi kupata madawati kwa wanfunzi?

kila mwaka these lot wanafanya cosmetic changes zao na hakuna kinachobadilika zaidi ya headlines to make us look stupid

In short wanasiasa wana tucost and these guys kupeana kula wont change a thing trust me

Rafiki SLIDINGROOF,

Serikali iliyopo madarakani inakazi kubwa ya kutekeleza ilani yake ya uchaguzi. Ilani ya uchaguzi inaandaliwa na chama kinachounda serikali. Kwa ufupi sana Umaskini wa Tanzania ni direct proposional na uongozi wa chama tawala
 
Thanks invisible, makamba atawekwa wapi? au ndo ntolee hiyo?
Nafasi ya mwenye kigoda vipi haiguswi? au gamba hilo bado liko fiti, au halijadiliki
 
EL was getting things DONE.... Mnataka viongozi wasio na MENO?, EL tayari ana hela kaiba au hakuiba haijalishi...ataingia kuchapa kazi ndo alichobakisha.

!

Nyeusi. yes, lots of things, AICC, Richmond/Dowans... lakini kwa maslahi ya nani?
Nyekundu Meno ya Lowasa yanang'ata na kurarua watanzania, tutaishi nae vipi huyu? Anahitaji karantini.
Bluu Do you expect bloodsucking vampire to declare that he has had enough of blood?
Gimme a break!
 
nakubaliana kiasi flani na ndugu fairplayer. Lowasa pamoja na ujambazi, unyang'au ni mtu anaediriki.ana uthubutu wa kimaamuzi,kama alikosea ktk mambo kadhaa ni ubinadamu tu. hakuna mtu aliekamili. jamaa mwizi lkn mtu wa kazi sana na anawezesha vtu kwenda. watumishi wengi tu wa serikali walikuwa wanamwogopa enzi zake sio leo wakati wa pinda ambae akikuta uozo anaanza kulia badala ya kuchukua hatua firm. to me lowasa hata akiwa presidaaa 2015 sawa tu!!
 
Nyeusi. yes, lots of things, AICC, Richmond/Dowans... lakini kwa maslahi ya nani?
Nyekundu Meno ya Lowasa yanang'ata na kurarua watanzania, tutaishi nae vipi huyu? Anahitaji karantini.
Bluu Do you expect bloodsucking vampire to declare that he has had enough of blood?
Gimme a break!

kudos mkuu,:rockon: :yo::amen:
 
Utabiri wangu hatimaye unakaribia kukamilika. Nilieleza bayana kwamba mwenendo wa Bw. Mukama ulinifanya nihisi kuwa anaandaliwa kuwa General Secretary wa CCM. Ukweli ni kwamba huyu bwana ni msomi na analytical. Binafsi namwona ana matatizo makubwa mawili. Kwanza ni king'ang'anizi. Akiamua yeye anataka kitekelezwe bila kujali mawazo kinzani ya wenzie. Ana maamuzi ya kiimla. Pili, bado hajatambua role kubwa ya vijana katika kuendesha chama. Ni mwenye mtazamo kwamba wazee ndiyo wanaopaswa kushika usukani na vijana wanakaa pembeni huku wakijifunza kwa wazee. Haamini mtazamo kinzania ambo ni vijana ndiyo wanaopaswa kushika usukani na wazee pembeni huku wakitoa ushauri unaotokana na uzoefu wao.

Ndiyo maana jamaa mmoja kasema.............kuna watu wanafurahia haya mabadiliko...........
 
Kuna wakati mtu anasema mpaka aliyemtuma anaogopa jinsi mdomo usivyo na breki....hii nayo kali maana inaacha loosers wengi kuliko winners
 
Huyo Mukama ni mropokaji Makamba sifuri.Mukama siyo msomaji, hajengi hoja bali huongea kwa jazba kulazimisha anachotaka, hashauriki. Hata celina ana akili kuliko. Nyie subirini aanze kuparamia katiba mpya muone

Kuna ukweli katika hili kwani akiwa Mkruguenzi wa Jiji nilipambana naye katika kesi ya jalala la Vingunguti. Alikuwa anatubeza sana na alikuwa haoni kama Jiji lilikiuka sheria kuanzishwa jalala pale. Lakini alikutana na watu wasiogopa na tulieweza kupata amri ya kufungwa kwa Jalala hilo la Vingunguti. Na jinsi nilivyomsikia mwaka jana wakati wa mchakato wa uchaguzi ni wazi kuwa Makamba ni mwanafunzi katika ubishi huyu jamaa ana tabia kama ya Stephen Wassira. Hivyo ubabe utaongezeka na CCM sasa inafanya kazi ya kujizika.
 
Katika kile kilichoitwa kujivua gamba imekua ngumu Nnape ataweza na je meghji atatunza pesa kina sio muadilifu hata kidogo je ni gamba gani hilo la kuvuliwa

Una uhakika gani kama Zakia sio muadilifu, kuna ushahidi wo wote? Usilete ya Kagoda maana she was not involved.
 
Waachie waendelee kupanga timu mbovu ndio heri yetu maana kufa kwa ccm ndo faraja kwetu. Adui yako muombee njaa.
 
jamani mbona mmetutenga kama sielewe hivi,Je nnape katibu mpya???
 
Bora wamempiga chini makamba alikua mropokaji sana,akapumzike salama ajilie pesazake
 
Aliingia baada ya keenja na kuliharibia jiji ile master plan ya keenja....
Sidhani kama ni msaada kwa ccm bali utawala kwani kinachotakiwa ni ccm ku practice real political part affairs na si kuigemea dola, kingine ni kumlink na wakristo kiurahisi.... Huyu anatoka familia ya tanu ya mzee budodi wa mwanza, huyu si wa musoma ni msukuma wa mwanza..... Endeleeni kumtathmin.

Anaweza akamudu endapo ataiga mangula style na kumuacha kinana a play role yake uzuri kwa huku bara na kwa waislamu....
 
Back
Top Bottom