Wakuu kweli hapo hela wameshapewa wajanja

Sent from my TECNO LB6 using Tapatalk
 
Hawa jamaa noma eti mtu anakulazimisha uwe tajiri, huu wema haupo kwenye binadamu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwel kabisa ndugu, huu wema hata mm sijawahi ona, mtu unalazimishwa utajiri kwa nguvu kiasi kile haijatokea kwa uso wa dunia.
Yalinikuta na jamaa yangu classmate chuo kikuu baada ya kumaliza na ajira/kujiajiri zilivyokua ngumu hivi.

Niambiwa nichukue saa ya 5M ati inakwenda 100m deep chini (nikajiuliza kwan mm diver) na kidude cha shingoni (pendan) sijui hotel za kulala buree duniani.

Hiiiiiiiiiii, nikamwambia ngosha nahe naheene.

Nikamwambia ww si una mke na ndugu zako na wa mkeo waunge utajiri u circulate kwenye family tree yenu.

Jamaa hakunitafuta mpaka kesho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dada yako kishapigwa ,mpe hai GOOD MORNING!!!!!

Naona sasa hivi anahangaika kutafuta wajinga wenzake wawili.

Mimi nashukuru mtego niliuruka na naishukuru sana JF na sources nyingine kutoka google.Jamaa yangu aliyenipeleka kapigwa hela yake yote aliyoipata ktk internship,alikuwa na stress sasa hivi ndio amepata ajira ya kudumu.

Wale jamaa wa Qnet ukiwaona na maisha yao ya kuigiza,stori za kutunga,magari ya kuazima na yale mahesabu yao wanayokupigia,unaona baada ya miaka mitatu unampita MO.

mpe pole GOOOOOOD MOOOOORNING,alafu wana kusalimia hivyo saa saba mchana wale jamaa vichwa vyao sio vizima.
 
Daah we acha tu mkuu

Sent from my TECNO LB6 using Tapatalk
 
Back
Top Bottom