Kuna mtu anaenda kuliwa kimasihara tu...
soon utasikia sauti kama ya mbuzi meeeeeee
Salam wakubwa.
Naomba kujuzwa tofauti iliyopo kati ya qnet na aim global hasa kwa watu wanaofanya network marketing
Wengine good morning, wengine happy moment.
Hatari sana mkuu, nilikutana nao ARUSHA nikaenda mpaka kwenye ofisi yao iliyopo maeneo ya PHILLIPS... Nimeingia mida ya saa 10 jioni, baada ya kuingia ndani naona watu wanasalimiana GOOD MORNING. nikajiuliza jioni hii halafu salamu ni GOOD MORNINGYaani kuna Watu ni ' Wapuuzi ' kila Siku mnatapeliwa nao na kuja Kulalamika hapa lakini bado tena mnapoteza muda wenu Kushirikiana nao na hata Kuwaulizia kama hivi. Mimi tokea nisikie wanasema kuwa wao Salamu yao hata kama ikiwa ni Saa 9 Alasiri au Saa 11 Jioni ni ' Good Morning ' niligundua ya kuwa ama watakuwa ni ' Wachawi Waandamizi ' au ' Wendawazimu Waandamizi ' kabisa.
Halafu wanazidi kuexpand. Kuna branch yao nyingine imefunguliwa Karibu na ninapofanyia kazi naona members wanazidi kuongezeka tuuYaani kuna Watu ni ' Wapuuzi ' kila Siku mnatapeliwa nao na kuja Kulalamika hapa lakini bado tena mnapoteza muda wenu Kushirikiana nao na hata Kuwaulizia kama hivi. Mimi tokea nisikie wanasema kuwa wao Salamu yao muda wowote ule hata kama ikiwa ni Saa 9 Alasiri au Saa 11 Jioni ni ' Good Morning ' niligundua ya kuwa ama watakuwa ni ' Wachawi Waandamizi ' au ' Wendawazimu Waandamizi ' kabisa.
Sina hata mpango wa kujiunga bro maana walianza kunifata wazee wa good morning nikawakatalia naona aim global nao wananifata ndo maana nikaulizaIngia kote mengine utajua huko huko.
Si unataka kuwa milionea haya zama huko au nenda forex.
Hahahahaa wao achievement zao magari tu sijui kwa nn na mengi ni harrierGood morning again, Wao wanayaona mafanikio katika kununua magari tu.
HahahahaHatari sana mkuu, nilikutana nao ARUSHA nikaenda mpaka kwenye ofisi yao iliyopo maeneo ya PHILLIPS... Nimeingia mida ya saa 10 jioni, baada ya kuingia ndani naona watu wanasalimiana GOOD MORNING. nikajiuliza jioni hii halafu salamu ni GOOD MORNING
Nilivyo ondoka sikurudi tena
Siez enda aseee maana siamini katika network marketing, nimeuliza tu baada ya qnet kunifata nikawatolea nje naona aim nao wananisumbua nownenda then utaleta mrejesho baada ya kuliwa kiboga
Hahahaaahawa wa good morning ndio wanakera zaidi pumbavu zao
Hahaaa sio kizembe hvo, goodmorning kakaKuna mtu anaenda kuliwa kimasihara tu...
Wananisumbua kisoro hawa wa aim sasa hivi hata sijui contacts zangu wametoa wapi asee nimeuliza maana qnet walinifata wakanipeleka hadi ofisin kwao sinza hawa nao naona simu daily haziishiYaani kuna Watu ni ' Wapuuzi ' kila Siku mnatapeliwa nao na kuja Kulalamika hapa lakini bado tena mnapoteza muda wenu Kushirikiana nao na hata Kuwaulizia kama hivi. Mimi tokea nisikie wanasema kuwa wao Salamu yao muda wowote ule hata kama ikiwa ni Saa 9 Alasiri au Saa 11 Jioni ni ' Good Morning ' niligundua ya kuwa ama watakuwa ni ' Wachawi Waandamizi ' au ' Wendawazimu Waandamizi ' kabisa.
Usicheke mkuu..
Au wewe hutaki kuwa milionea !!!
Ahahaha