Troublemaker
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 19,905
- 38,555
Fata huu ushauri mleta madawewe endelea kwenda ila mwisho wa siku waambie hauna hata sh. 100 kama wanazo wao wakukopeshe alafu wafanyie hicho wanachokiubiri faida ikipatikana utawarudishia mtaji wao na wewe utabaki na faida.