Kuna jamaa Mmoja nilikuwa nafanya kazi naye Dar.Siku moja alinipigia na kusisitiza tuonane Ana Jambo muhimu na zuri LA biashara.
Bwana Yule alinisisitiza Niende maeneo ya pale TRA mwenge sikumbuki Saa 11 kamili au 12 kamili za Jioni. Kamili ilisisitizwa sana sana sana.
Muda niliopangiwa nilichelewa Kama robo saa.kuna nyumba niilipelekwa na bwana yule.Nilikuwa na wife pia wanafahamiana na bwana Yule.Tulisubirishwa nje Kama robo saa baadaye tuliitwa tukaingia tukakuta Watu Kama takriban 8.
Tukasalimiwa good morning nikashangaa muda ule wa Jioni ila moyoni nikasema Ngoja nifuatilie hadi mwisho wao.
Walijitambulisha na mwenyeji wetu akatutambulisha, wakasema Wanadeal na holiday sales package na Vitu vya thamani Kama saa na kadhalika. It was so brief. After that tukapelekwa ofisini Kwa dada Mmoja lakini tukaambiwa tumechelewa hatuwezi kufanya chochote tuje kesho yake saa 5 kamili, ikasisitizwa sana kamili tena.
Bwana Yule alitusindikiza hadi makumbusho Kwa miguu tukawa tunapiga story za Hapa na pale lakini kila nilipokuwa namuuliza Kuhusu biashara yao ile hakutaka kunijibu akawa anasisitiza hadi niende pale yeye hawezi kunielezea haitakiwi.
Kesho yake sikwenda nikarudi zangu Arusha. Mimi na wife tukajua Hawa jamaa no fremanson Kwa sababu ya salamu yao ile.
Kilichonishangaza wamechoka sana wale watu hawafai kusema wamefanikiwa. Kuna dada Mmoja nliambiwa Alikuwa sales manager tigo akaacha Kwa sababu amefanikiwa. Ukimuangalia amechokaaaaaaa bora ya mimi.
Salamu yao na kutotaka kusema aina ya biashara wanayofanya kwa uwazi walitupa amashaka.Saa zao za kamili Kwa msisitizo pia walinishangaza nikahisi utapeli
Juzi nkamuambia Yule jamaa Nimepata Kama milioni kumi je ile biashara ni vipi nataka niijaribu anielezee Kwa simu Japo nilishasoma uzi zamani baada ya kupelekwa kule TRA nikawa namchora tu na q net yake.
Bwana Yule Juzi ameomba nimkopeshe 2m, sijampa Nahisi tutagombana kwenye kulipana.
Nilimchomekea Juzi hiyo Kuhusu biashara yake akasema alinvest 5m lakini hajapata mtu Kwa hiyo hajapata returns zozote hadi Juzi hiyo.
Wale jamaa ni matapeli achaneni nao.
Samahanini mimi sio mwandishi mzuri.
 
MUNGU aniepusha na ma business ya kiwaki kama haya kuna bidada namuheshimu sana ila kila day ananishawishi nijiunge na sijui Alliance
 
Wakuu Elia Mroso yupo, dogo ndio ambassador wa Qnet hapa bongo, ndo waliotusua mapema mapema pind QNet inatia timu hapa mjin, nilisikia ameagiza Range rover ya mill 350, baada ya kuachana na harrier lexus na hayo yote ni matunda ya QNET , Dogo tumepiga naye Galanos boys tulikuwa na chember yetu ya B.O.T...... Ha ha haa a, ila Mimi Qnet nimeitosa aisee ishajam tayar na wana wamebumbuluka, hongera yake ashatusua kama ni kweli....
 
Nlikutana na mdada ananishauri kujiunga baada ya kujua ni qnet nkamkaribisha geto..nkamuuliza million 5 yako isharudi? Nlivyomvunja nguvu nikqmgonga na kumuacha na uwekezaji wake..maana alijua nshasanuka
Nasema sio mke wangu hata Girlfrnd wangu akiingia kwenye Huu upuuzi akatafute bwana mwingine ambae atakuwa mjinga kama yeye...!! Fwakeni
 
Wakuu Elia Mroso yupo, dogo ndio ambassador wa Qnet hapa bongo, ndo waliotusua mapema mapema pind QNet inatia timu hapa mjin, nilisikia ameagiza Range rover ya mill 350, baada ya kuachana na harrier lexus na hayo yote ni matunda ya QNET , Dogo tumepiga naye Galanos boys tulikuwa na chember yetu ya B.O.T...... Ha ha haa a, ila Mimi Qnet nimeitosa aisee ishajam tayar na wana wamebumbuluka, hongera yake ashatusua kama ni kweli....
Alikuwa anasoma diploma ya insurance then akaacha baada ya kupata Qnet yule ni mmoja ya top earners hapa Tz na alipoipata toka kwa mfanyakazi wake bilal chap akajaza ndugu zake warombo kina einhard Mroso, Happy Matemba na wengine kibao,,, kila wiki lazima atengeneze zaidi ya dola elfu 20 anakula maisha kama hana akili,,, kawajengea wazazi wake nyumba ya m200 na hiyo range alisema angeagiza zero km,,, anaishi apartment ya bei kinoma meisahau jina ila ipo posta... Alikuwa akija ofisini kwetu full mbwembwe
 
Sawa sawa mkuu, nilimuona pia kwenye kalenda ya Qnet akiwa Malaysia, akipromote saa ya rolex na Huyo Bilal pia tumepiga nao Galanos, naskia jamaa aliredirect mtonyo wa karo akautupia Qnet mzee baba, na aliiotea kweli kweli mana ndo ilikuwa inaingia bongo ile kugusa tu kitu kikaboom , na lazima apige hela ya hatar, sababu wao ndo waliidaka mapema , karbia chain ya member wote wa Qnet hapa bongo wao wanapiga percent,.....
Dogo namkubali sana, tukiwa skul niliugua nikazidiwa dogo alifight sana aisee mpak nikapata matibabu stahiki, jamaa alipambana mpak nikawa naletewa msosi wa staff, very humble sana mshikaji, Mungu amlipe parefu...

Mimi mimekuja kuinyaka issue ya Qnet too late, ishakuwa Tayar ina chain ndeefu na watu washambumbuluka , sa hv kushawishi kaaz kweli kweli, nilipoichanganua vyema nikaona miyeyusho nitaloose my money, nikaitema....!!
 
Qnet wanamchukua mtu anaejituma sana kwahiyo wanawekeza kwa huyo mtu....msidhan huyo jamaa nyumba na magari ni pesa yake. Hizo ni pesa za kampuni imewekeza kwake ili na nyie muingie mkenge!
 
Hpn,,, wanakubeba mwanzoni tu kama umeonesha dalili nzuri na una influence ila kwa huyu jamaa anapata hela yaan hao unaowaona wanazunguka kama tiara wanachoingiza na yeye kinaingia pia hivyo ni kama wanamfanyia kaxi
 
Naona huu uzi umekaa maalum kwa kubumbulua watu.....mnataka sisi tukose wengine wa kuingiza mkenge kwenye haya makitu? Acheni ivo bana😀😀😀😀
 
Piga hisabu sawasawa mwenyewe kisha ujiongeze. Utoe ml.5 halafu ndio uwe Qnet business partner na utalipwa kutokana na wewe kuwatafuta watu wa2 wa kujiunga na Qnet ukishawapata nao wakajiunga kwa ml.5 hapo watakulipa $200 hiyo ni baada pengine miezi 3 kwahiyo ukitoa $200=500,000 utakuwa unawadai 4,500,000 yaani mpaka urudishe pesa yako uliyoitoa Qnet ita kuchukua hata miaka 5 Bora mara zote kama huna idea kuzalisha pesa yako bora ukanunue kiwanja ujenge rental single rooms ukodishe kuliko kupeleka Qnet
 
search kuna nyuzi nyingi zina habari zao, ila kwa kifupi kimbia majambazi hao
 
Back
Top Bottom