BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
Am good.. Are you sick?Some how fine... You!?
YesKipindi cha magod father Meesi na Cr7
Poa kigliiiiMambo!
Nitaitafuta hiyo shooting dogsIle Movie ni balaa japo wanasema movie ya Hotel Rwanda ndio imebase katika uhalisia zaidi.
Pia kuna movie inaitwa Shooting Dogs nayo yaelezea kuhusu mauaji ya kimbari.
Kiroho zaidiKweli mkuu.
Kwa Tanzania ,hakika tunahitaji maombi kuikomboa nchi toka ibilisi,mambo ni mengi mno,laana ,mikosi na unafiki mwingi..tufanye toba tumlilie Mungu,atatusaidia.
Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app

Mbona baba mchungaji anataka kukana?
Kwema Dr?Morning mummy
Umetamka vizuri hadi moyo umechangamkaPoa kigliiii
Mama amesema mpo zaidi ya 47What do you mean???![]()
![]()
![]()
![]()
Mzee wa paliii mamboNashukuru kusikia hivyo

Naona ana asili ya Japan![]()
Hakupandisha mori km jina lake?![]()
.....
Kweli![]()
![]()
Usishtuke shem usije pata pressure wakati leo ni siku ya afya duniani
Hahaha so umechanua kama mauaUmetamka vizuri hadi moyo umechangamka
Naona ana asili ya Japan![]()
Hakupandisha mori km jina lake?![]()
.....
Duh!!! Hana mtoto wala mke so no mercyWaziri wake wa Ulinzi ni Jenerali Mstaafu, James Mattis.
Anapenda vita kuliko msosi. Hajawahi kuoa wala hana mtoto.
1994 - Agathe Uwilingiyimana anauwawa katika Mauaji ya kimbari.
Alikuwa ni Waziri Mkuu wa Rwanda.
Ni mwanamke wa kwqnza na wa pekee kushika wadhifa huo nchini humo.
Unaipendea nini?