Nyagei
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 13,201
- 44,601


Huku angepiga miayo tu!![]()
![]()
kautosa uraia wa Tanzania![]()
....
Weka weka ili tuhakikiFridaaaaay!
Afu kaka zangu kina Nyagei wanakomaa niweke picha jf ..
Amen thanksGoodmorning Madam dear.....Amen.....be blessed too
Kumbe hiyo picha ndio walioitumia kwenye shilingi 200&500
Haha haha Shikamoo SakayoMie nataka Shkamo sasa shem
Umesomeka vyema kabisa.Hakuna ubishi mtu akizeeka uwezo wa kufikiri unapungua...ndio maana nchi zilizoendelea vizee vinalipwa pesa ili vitulie kwa amani maana ufanisi wao kimwili na kiakili hupungua
Japo tunaamini kibongobongo uzee ni busara
...
Halafu una tabia mbaya wewe Clkey ndio umempoteza kabisa humu ndani?Hahahaaaa! Kama nakuona vilee..
You are like i can't wait..!
Unataka kina Clkey wakuny'anganye T wako eeh?
1983 - Franck Ribery anazaliwa.
Winga wa klabu ya Bayern na timu ya taifa ya Ufaransa.
Mmoja kati ya wachezaji hodari kabisa kwa miaka 10 iliyopita ila amefunikwa na kivuli cha Messi na Ronaldo.
Halafu una tabia mbaya wewe Clkey ndio umempoteza kabisa humu ndani?

Huyo Sigara ndio ilimponza nakiona kitu mdomoni![]()
Waafrika tunajali zaidi matumbo yetu badala ya afya zetu na heshima au maslahi ya Taifa....![]()
mwangalie Mrema kang'ang'ania sijui Uenyekiti wa wanyamapori na yule Makamu wa Rais Zenji japo kuongea tu kwao ni shida
...
Nchi viwanda vya amaniHuku angepiga miayo tu!
Mungu mkuu baba mchungajiShalom nyagei
Sio utani.....kwenye lishe Naskia Ngano ina faida kiakili kuliko Mahindi.....halafu Wazungu walitubadilishia Ngano wakatuletea MahindiSababu tunakula sana ugali
Nakuona Hapo ulipo unasubiri ugali
![]()
![]()
![]()
......
Hata mm mwenyew cjui kaenda wap?Morning shem
Umempeleka wapi ndugu yetu?
Ni makamoPoint of correction, miaka 47 sio mzee![]()
Weka pichaHuyo ni Mtanzania pure wa kuzaliwa
GoodGood! How's you?
MtumishiMambo!
Nakuona upo fresh baba mchungajiWhat do you mean???![]()
![]()
![]()
![]()