Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
Bunge la Cameroon limeanza kujadili muswada wa marekebisho ya katiba unaolenga kurudisha nafasi ya Makamu wa Rais baada ya nafasi hiyo kufutwa mwaka 1972.
Nafasi hiyo itamwezesha Makamu wa Rais kushika madaraka endapo Rais Paul Biya (93), ambaye ameiongoza nchi hiyo tangu mwaka 1982, hatokuwepo au kushindwa kutekeleza majukumu yake.