Makapuku Forum

Makapuku Forum

Sio utani.....kwenye lishe Naskia Ngano ina faida kiakili kuliko Mahindi.....halafu Wazungu walitubadilishia Ngano wakatuletea Mahindi
Ila ngano ina mzio sanaaaa(arlegies) na kwa nchi zetu tungapata shida sana kudhibiti ...mara nyingi mtu utamsikia anaathma akipima arlegy analuta ngano akistop kula vitu vya ngano asthma inaisha so tunatakiwa kuwa waangalifu.

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom