Makapuku Forum

Makapuku Forum

78be1b9b6a8cae1fe5a52f28b2fb24c0.jpg
c3c42d5252d8242d806f35645627a8bb.jpg
5781c2ccefd71999a6841823e5d44950.jpg
vita iliwashinda ndio wakaamua kusepa?
.....
Maji yalizidi unga wakaamua warudishe mpira kwa kipa.
 
Mwanzo kabisa, ilikuwa ni ajenda ya silaha za maangamizi lakini walipokosa wakaamua kuja na ajenda ya uhaligu dhidi ya binadamu.

Lakini uhalisia ni kuwa, Bush mdogo alikuwa analipa kisasi hasa baada ya baba yake kushindwa kwenye vita vya Ghuba na huyuhuyu Saddam.

So ni kama revenge flani hivi ndio maana Saddam alihukumiwa kulekule kwao Iraq na hakupelekwa ICC kwa kuwa angeweza kupewa kifungo kidogo.
Got you mkuu!
 
Habari zenu wakuu hope mko wazima..siku hizi mahudhurio yangu hafifu

It Depend.
Ila be alike bro why don't want to reveal to your friends while they do to you.
Aaahaaaa umenifanya hadi niandike English yangu broken.
Ndio English hiyo mboba nzuri sana endelea kuzungumza na kuandika huwezi amini hata mbuyu ulianza kama mchicha utafika mbali komaaa

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom