Hakuna ubishi mtu akizeeka uwezo wa kufikiri unapungua...ndio maana nchi zilizoendelea vizee vinalipwa pesa ili vitulie kwa amani maana ufanisi wao kimwili na kiakili hupungua
Japo tunaamini kibongobongo uzee ni busara
...
Waafrika tunajali zaidi matumbo yetu badala ya afya zetu na heshima au maslahi ya Taifa....
mwangalie Mrema kang'ang'ania sijui Uenyekiti wa wanyamapori na yule Makamu wa Rais Zenji japo kuongea tu kwao ni shida
...