Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
1948 - Shirika la Afya Duniani ( WHO ) laanzishwa.
Makao makuu yapo Geneva nvhini Uswizi.
1948 - Shirika la Afya Duniani ( WHO ) laanzishwa.
Makao makuu yapo Geneva nvhini Uswizi.
Vipi tena honeyUsifanye hivo baby
Upo sahihi mkuu, hata wale wa kaunda suti mtiririko uko hivyo.Pia wapo wafanyakazi wa jeshi la polisi waenda likizo miezi mitatu Sawa na siku 90
Mie nimeanza Jana ila ndo kama vileeFridaaaaay!
Afu kaka zangu kina Nyagei wanakomaa niweke picha jf ..
Sasa kumbe miaka 3 !Ndani ya miaka mitatu
Mie nitaaminiMmeshakuwa na wasiwasi hata nikiweka hamtoamini..
Poleeee!Mie nimeanza Jana ila ndo kama vilee
KabisaaUpo sahihi mkuu, hata wale wa kaunda suti mtiririko uko hivyo.
Hahahaaaa! Kama nakuona vilee..Mie nitaamini
Em weka basi
You by my side, I always smilePoleeee!
Though leo naona smile ! Keep smilling ..

1955 - Waziri Mkuu wa Uingereza Winston Churchill anajiuzulu wadhifa huo kwa sababu za kiafya.
Alishika wadhifa huo mara mbili tofauti. Anatajwa kama mmoja kati ya Mawaziri Wakuu bora katika siasa za Uingereza.
Ndio mtu wa kwanza kati ya Watu 8 pekee kupewa Uraia wa heshima katika Nchi ya Marekani.
Nimekujibu hapo nyuma cheki vzrSasa kumbe miaka 3 !
Basi its quite different to me..
anyway..!
Lest get back to Iraq invasion 2003..
What was the real agenda?
Shalom nyageiAah le baba mchungaji
Shalom werrason
Basi vyemaKwa damu ya Yesu kristo
Ninafuraha kuungana nanyi
HahahaHahahaaaa! Kama nakuona vilee..
You are like i can't wait..!
Unataka kina Clkey wakuny'anganye T wako eeh?
1971 - Rais wa Marekani, Richard Nixon anatangaza mpango Uliojulikana kama " Vietnamization " wa kuyaondoa majeshi ya Nchi hayo nchini Vietnam na kuwafundisha askari wa Vietnam na ya Kusini mbinu na medani za kivita.
Afrika tuna safari ndefu sana, Mrema kachoka, Mrema kaisha lakini haachii madaraka.![]()
Waafrika tunajali zaidi matumbo yetu badala ya afya zetu na heshima....mwangalie Mrema kang'ang'ania sijui Uenyekiti wa wanyamapori japo kuongea tu shida![]()
...
Yes, Plus PH (Public Holiday)Hivi kuna muajiri anatoa likizo ya 40 days?
Lets be logically..
Point of correction, miaka 47 sio mzeeHahahaaaa!
Nyagei hii ni week ya makapuku sio?
Lets be logically na wakweli mkuu..! Kweli kuna mzee wa 47 atakuwa yuko chitchat muda huu..
