Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Asante sana mama mchungajiMkuu Lee Empire asante sana kwa magazeti ubarikiwe salaam kwa Shunie
Asante sana mama mchungajiMkuu Lee Empire asante sana kwa magazeti ubarikiwe salaam kwa Shunie
Mtumishi ubalikiwe na hasa kwa kuweza kutoa neno lenye uhai!!Karibu...mimi ni mama mchungaji..in Lee'svoice ,mama mchuchu in Shunie's Voice,MAMA in Nyagei's voice,Mtumishi in Queil's voice..tunakupenda Mkhubi pole kwa maumivu naamini Mungu anaendelea kukuponya mwili na roho karibu Makapuku sisi wanafamilia wenzako tunakuombea Isaya 43:2 upitapo katika maji mengi nitakuwa pamoja nawe ,na katika mito ,haitakugharikisha,uendapo katika moto hautateketea,wala mwali wa moto hautakuunguza 3 Maana mimi ni BWANA MUNGU wako Mtakatifu wa Israeli,mwokozi wako , nimetoa Misri kuwa ukombozi wako,nimetoa Kushi na Seba kwa ajili yako,4 Kwa kuwa ulikuwa wa thamani machoni pangu na mwenye kuheshimiwa,nami nimekupenda kwa sababu hiyo nitatoa watu kwa ajili yako ,na kabila za watu kwa ajili ya maisha yako. In short GOD WILL CARRY YOU THROUGH THE STORM..UBARIKIWE
Malaria waliyamaliza mbu wanatumika kwa kazi nyingine![]()
![]()
![]()
hii history ni nzuli sana!!
Karibu sanaMtumishi ubalikiwe na hasa kwa kuweza kutoa neno lenye uhai!!
Jamani naenda kazini
Warning : kwa yoyote anayemfatilia shunie (shemeji yangu) nikimuona atakipata
kichaa kapewa rungu

Then.Ujinga wa tarehe 1/4/2017
![]()
He has HIV+Then.
Ndo maana nkakukabidhiii kijiji
Ila usijitoe ufahamu
Siwez mkuu niko makini mimiAna nafuu anayejua kuliko asyejua status yake.watu wengi wanaishi kwa kudhani..napenda kuona kila mtu anafuatilia afya yake na kujua status yake...bila shurtiHe has HIV+
Sawa sawa mkuu shemeji kipenziiiJamani naenda kazini
Warning : kwa yoyote anayemfatilia shunie (shemeji yangu) nikimuona atakipata
kichaa kapewa rungu
Shemeji wangu wa ukweli.... U khali gani?Shkamo shemeji
Mie Sijambo jamani, vipi wewe waionaje hali
Ni uongo alikuwa anamdanganya mpenzi wake kitendo ambacho yule kilipelekea yule GF afikirie kujiuaAna nafuu anayejua kuliko asyejua status yake.watu wengi wanaishi kwa kudhani..napenda kuona kila mtu anafuatilia afya yake na kujua status yake...bila shurti
Morning shemMorning my lovely kapuku's
Good! How's you?Morning my lovely kapuku's
Wengi wanaogopa kuujua ukweli... Kwa hiyo wanabakia wakiishi kwa kudhania hivohivoAna nafuu anayejua kuliko asyejua status yake.watu wengi wanaishi kwa kudhani..napenda kuona kila mtu anafuatilia afya yake na kujua status yake...bila shurti