Bagamoyo imetumika kisitiari mama. Unaweza kuiondoa na kuweka mji wo wote uliko na ndugu. By the way, kuna vilodge vizuri huko Bagamoyo na nikikualika utakuja tu hata kama huna ndugu huko...Halafu eti Lee hachepuki. Si ajabu ana michepuko mpaka jijini Koromije.
Glad to hear that you are fine!!!You're welcome. I am good thanks for asking.
UshindweeeeeNg'ang'ania hapohapo....hadi ubarikiwe
Live mubashara bila chengaMimi ni pure man sidanganyi ukweli ni kwamba naomba tuwe couple kama lee na chimamy wake
Na wewehahhaahh acha woga jibu kama umeachika hamia kwa soudy anaonekana anajua kupet pet
MmmmmhUmeona balaa la kampeni za mumeo
Mkuu comenti yako nikisoma siishiwi kutabasamu asee sasa poradly niwapi huko ?
UkomeeMMU chaka fishe lile. Nilishawahi pata mtu kule akawa ananitumia picha zake mrembo anawaka kuja kumwona laivu maweeee! Kumbe alikuwa ananitumia picha za Form IV bana wakati mtu mzima ameachika tena na watoto juu. Nilishaacha haya mambo ya mtandaoni kwa sababu miye sina tabia ya kuchezea watu. Basi ali-apologize sana wakati mi nilishapotezea jumla. Afadhali huku huku ngoja nikushupalie wewe tu mpaka kieleweke...
Mwambie ukweli dear mtoto mwakan anaanza chekecheaahivi ujue lee nimezaa nae huyo uliyemkimbia mmu cha mtto mm ndio sura kama masoud sura mbaya lee peke ake ndio kanipenda nilivyo
Ufunguo ninao mm wa pmTena mpaka kieleweke...
Halafu Shuniewewe mkorofi. Umepiga kufuli PM. Kuna siku nimekuja full force PM na zawadi juu kumbe PM imefungwa. Mpaka leo bado nasonya!!!
AiseeeeehHata kama angekuwa macho tungempa za uso tu. Mwamshe kama ana ubavu.
SahauuuItakubidi unifungulie japo mara moja tu niingie...That's all...
Busara bado ninazo tena sana sema tu nimechanganyikiwa...
Na wewe mkuu unamtaka shunieHahahaha, ingia moyoni mwangu ujionee mwenyewe
Si nilisema kuwa ngoja uamke. Ona sasa ulivyokunja uso. Angalia usije ukararua mishipa ya ubongo uRIP utuachie Shunie wetu tufaudu!
Umerogwaaaaaa weweJamani, siunaingia kuangalia then unatoka
Jipe moyo mkuu wa kuthubutu
Na kweli MMU nilishakoma. Ndo maana sasa nimehamishia majeshi yote kwa ShunieUkomee
Ila wewe lijamaa ling'ang'aniziiiAkija kudhurika usimlaumu mtu!
Mbona tayari nshafunguliwa?Sahauuu
Shuguli ilikuwa pevu ....kupendwa rahaaya mama, ulale unono pia! Kesho usisahau kuloweka shuka na boxer
Malkia mmetisha kinomaaaKesho nayo siku....may you all have a good night in your world of sweetest dreams ever....i heart you all