shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Nzuri, za weweHabarini family
Nzuri, za weweHabarini family
Hebu weka hicho the book kwa avatar kukifahamu bathiiipooooooooooa
Njema sana kakaNzuri, za wewe
Duuuh umebadili tena avatar wewe sasa utakuwa ni mgonjwa wa avatar hahahahahakumbe huyo wa kike?
Shwaari mkuuHabarini family
Jimena ushawai kuvipanda hivi vindegwe?Videge vibayaa
HeeeUsijisahau ukapitiliza na nyumbani mpenz
Shululu kawa mpenzi wako tangu lini??!!

haaa hhaa*Wakat naperuz FB na WhatsApp nimeona wadada wengi wamepost picha za wapenz wao, nikajiuliza kuna nn Leo. Kucheki kalenda kumbe mwisho wa mwezi*.
*#hawatakagi ujingaaa*![]()
The book ndio Genda heka au??Duuuh umebadili tena avatar wewe sasa utakuwa ni mgonjwa wa avatar hahahahaha

mi mwnyewe nilishangaa,kwan shululu wa kike wa kiume??HeeeShululu kawa mpenzi wako tangu lini??!!
![]()
ndo mimiThe book ndio Genda heka au??![]()
Sura yake nimeipenda ina Charms nyingi sana
Mbona mimi hawajanipost mademu zangu dah 🙁*Wakat naperuz FB na WhatsApp nimeona wadada wengi wamepost picha za wapenz wao, nikajiuliza kuna nn Leo. Kucheki kalenda kumbe mwisho wa mwezi*.
*#hawatakagi ujingaaa*![]()
alipokuwa na miaka 18 alikuwa bomba sanaSura yake nimeipenda ina Charms nyingi sana
Twiga1988 - Kevin Durant anazaliwa.
Ni mchezaji wa mpira wa kikapu toka timu ya Golden State Warriors.
Aliwahi kushinda tuzo ya MVP katika ligi ya kikapu y NBA.
Asante kwa history MussoLeo katika Historia:
Kwa udhamini mnono wa Europa League, tuonane kesho.
Mhh walikuwa na maraisi wengi huku kwetu wa 5 tu1951 - Michelle Bachelet anazaliwa.
Alikuwa ni Rais wa 34 wa Chile.


Bado sana kakaa....hadi vitukuuwagunduzi wa TZ lini?